Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,742
37,091
Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis tarehe 26/04/2025 huko Vatican.

1. William Ruto, Kenya
2. Dkt Philipo I. Mpango (PhD), Tanzania,
3. Mstaafu na Mgombea Nafasi ya Ukurugenzi WHO.
4 Keir - Waziri Mkuu UK,
5. Kagame - Rwanda,
6. Museveni - Uganda.
7. Lula - Brazil,
8. Bongbong Marcos - Philippines,
9. Thikesedi - DR Congo,
10. Ramaphosa - South Africa,
11. Andy Rajoelina - Madagascar,
12. Mfalme Mswati - eSwatini,
13. Mfalme Mohammed VI - Morocco,
14. Guterez - Karibu Mkuu-UN,
15. Lazarus Chakwera - Malawi,
16. Steve Nyenyere,
17. Emmanuel Macron - France,
18 Lucas Mwashambwa - Kada Makongolosi,
19. Mfalme Charles - UK
 
JANABI
1000413488.jpg
 
Mimi pia najipanga niende msibani. Msiba wa Papa John Paul II sikuhudhuria. Nisipohudhuria huu pia wakatoliki hawatanielewa na kunisusia nikiwa na changamoto zangu hasa misiba.
 
Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis huko Vatican.

1. William Ruto, Kenya
2. Dkt Philipo
3. Mstaafu na Mgombea Nafasi ya Ukurugenzi WHO.

Unamaanisha toka Africa? Update list yako.

Huko Duniani, viongozi waliothibitisha kushiriki maziko ya Papa Francis, ni pamoja na :
DOnald Trump - Rais wa US

Macron - Rais wa Ufaransa

Keir -Waziri Mkuu wa Uingereza

Zelenskyy- Rais wa Ukraine

Mfalme philippe na Malkia Mathilde - Ubelgiji

Bart - Waziri Mmkuu Ubelgiji

Luiz - Rais wa Brazil
Ursula, Antonio Costa, Roberta - Umoja wa Ulaya



The Prince of Wales will attend the Pope's funeral on behalf of the King, along with Prime Minister Keir Starmer and other world leaders, including US President Donald Trump, French President Emmanuel Macron and Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy.
BELGIUM - King Philippe and Queen Mathilde, Prime Minister Bart De Wever.
BRITAIN - Prince William and Prime Minister Keir Starmer.
BRAZIL - President Luiz Inacio Lula da Silva and first lady Janja Lula da Silva.
EUROPEAN UNION - Commission President Ursula von der Leyen, Council President Antonio Costa, Parliament President Roberta Metsola.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom