Nonpartisan
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 278
- 254
Safi sana kwa maoni.Daahh!! Ebhana point sana best ila mm huyu pombe namuona kama anataka kuwafukuza watu wa JK abaki na wakwake ila sawa lakini aangalie kama wanamakosa kweli isiwe uonevu
Kuna kitu ninajiuliza kwanini viongozi wanaofukuzwa kwenye nyazifa mbalimbali za serikali hawafanyi vikao vya wazi na waandishi wa habari ili kuujulisha uma nini kimepelekea yeye kufukuzwa. Nahisi viongozi wengi watakua wanatumbuliwa kimakosa lakini nani wakuwatetea( but who to speak for them) nani wakusimama upande wao tusikie story ya upande wapili wa shilingi, wananchi wengi tumekua tukifata mkumbo kwa kusikiliza upande mmoja tuu wa habari.
Nafikiri ni vyema wale wanaotumbuliwa kufanya public conferences kama wamefanya kosa la kiofisi linalogusa wananchi au pesa zao za kodi watuombe radhi, nakama wametumbuliwa kimakosa wajielezee tumjue mbaya nani.
Concerned Citizen.
Hata pombe ilikua sehemu ya utawala wa aliyepita, au watu walikua hawanywi enzi izo.Daahh!! Ebhana point sana best ila mm huyu pombe namuona kama anataka kuwafukuza watu wa JK abaki na wakwake ila sawa lakini aangalie kama wanamakosa kweli isiwe uonevu
Vip kuhusu ya LUGUMIKwa hali ya sasa kufanya press conference ni kushindana na mamlaka na inaweza ika cost zaidi ya kupoteza kazi. Wakubwa wako sahihi siku zote. Kumbuka ishu ya mjadala wa John ulivyofungwa.
Ndo maana wamechunaMkuu wengi wao wa waliotumbuliwa kwa namna moja ama nyingine wamehusika na ubadhirifu wa mali ya umma, matumizi mabaya ya madaraka, kutoa tenda mbovu, utendaji usioridhisha ama usio na ufanisi na ,kutokuendana na kasi ya awamu ya tano na kutoa taarifa zinazokinzana na mamlaka za juu. Kwa hiyo atakayejitikeza kufanya kikao cha wazi na wanahabari itapelekea tume kuundwa kwa ajili yake atafutiwe makosa na awajibishwe kisheria, kwa hiyo wanaona bora wakae kimya waendelee kula mafao taratibu
Huo ni uoga mkuu lazima na wewe ujisafishe banaa kutumbuliwa tena hadharani ni fedheha we si unaona Kebwe alivyokufa na msongo wa mawazo kwa sababu hakupata kwa kupumulia aliona km watz wote wanamzomeanadhani wengi ambao teuzi zao zinatenguliwa kabla ya hizo teuzi walikuwa ni watumishi serikalini hivyo teuzi zinapotenguliwa hurudia kazi zao za awari serikalini kama mfano kuendelea kuwa mwalimu, daktar nk.
Sasa wakianza malumbano na boss watapoteza hata hicho kidodo wanachobakinacho