LGE2024 Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
888
2,825
Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa kama walivyokuwa wanapelekewa na makarani wao walikuwa wakishirikiana na mawakala wa vyama vyote ndani ya kituo husika.

Kata ya Kwembe yenye mitaa 9 ilikuwa na vituo 19

~ Mtaa wa King’azi B ulikuwa na vituo 2 wameandikishwa wananchi 3466
~ Mtaa wa King’azi A ulikuwa na vituo 2 vya uandikishaji wameandikishwa wananchi 1886
~ Mtaa wa Kwembe ulikuwa na vituo 5 vya uandikishaji wamendikishwa 2964
~ Mtaa wa Buguruni ulikuwa na vituo 3 vya uandikishaji wameandikishwa wananchi 2773
~ Mtaa wa Mji Mpya ulikuwa na kituo 1 cha uandikishaji wameandikishwa wananchi 1561
~ Mtaa wa Mlonganzila ulikuwa na vituo 2 vya uandikishaji wameandikishwa wananchi 1772
~ Mtaa wa Mpakani ulikuwa na vituo 2 vya uandikishaji wameandikishwa wananchi 2236
~ Mtaa wa Msakuzi ulikuwa na kituo 1 cha uandikishaji wameandikisha wananchi 1834
~ Mtaa wa Ngeteni ulikuwa na kituo 1 cha uandikishaji – takwimu zake hazijapatikana kwa wakati

Kwa kata ya Kibamba ambayo ina mitaa 5 ilikuwa na vituo 21

~ Mtaa wa Gogoni ulukuwa na vituo 4 vya uandikishaji wameandikisha wananchi 2310
~ Mtaa wa Ondogo ilikuwa na vituo 3 vya uandikishaji wameandikisha wananchi 2677
~ Mtaa wa Kibamba ulikuwa na vituo 3 vya uandikishaji wameandikisha wananchi 3108
~ Mtaa wa Kibegele ulikuwa na vituo 5 vya uandikishaji wameandikisha wananchi 2856
~ Mtaa wa Kiluvya ulikuwa na vituo 6 vya uandikishaji wameandikishwa wnanchi 2105

Kata ya Salanga ambayo ina mitaa 9 ilikuwa na vituo 32

~ Mtaa wa Kimara B ulikuwa na vituo 2 vya uandikishaji wamejiandikisha wananchi 2645
~ Mtaa wa King’ong’o ulikuwa na vituo 6 vya uandikishaji wameandikisha wananchi 2658
~ Mtaa wa Matangini ulikuwa na vituo 7 vya uandikishaji wamendikisha wananchi 4221
~ Mtaa wa Mchungwani ulikuwa na vituo 2 vya uandikishaji wameandikisha wananchi 2261
~ Mtaa wa Mji Mpya ulikuwa na vituo 3 vya uandikishaji wamendikisha wananchi 3843
~ Mtaa wa Salanga vituo 2 wamendikisha 3660
~ Mtaa wa Stop Over vituo 4 wameandikisha 2464
~ Mtaa wa Ukombozi vituo 3 wamendikisha 1337
~ Mtaa wa Upendo vituo 3 wameandikisha 2437

Kata ya Msigani ina Mitaa 5 yenye vituo

~ Mtaa wa Yusuph vituo 4 wameandikisha 2411
~ Mtaa wa Malamba Mawili vituo 5 wameandikisha 4379
~ Mtaa wa Msigani vituo 4 wameandikisha 3947
~ Mtaa wa Msingwa vituo 3 wamendikishwa 3068
~ Mtaa wa Temboni vituo 4 wamendikishwa 1751

Kata ya Mbezi ina Mitaa 8

~ Mtaa wa Luis vituo 3 wameandikisha 3558
~ Mtaa wa Makabe vituo 4 wameandikisha 3563
~ Mtaa wa Mbezi Luis Center vituo 8 wameandisha 3788
~ Mtaa wa Mpigi Magohe vituo 8 wameandisha 3077
~ Mtaa wa Msakuzi vituo 3 wameandikisha 3463
~ Mtaa wa Msakuzi Kusini vituo 3 wameandikisha 2087
~ Mtaa wa Mshikamano vituo 4 wameandikisha 3795
~ Mtaa wa Msumi vituo 5 wameandikisha 4312

Kata ya Goba ina Mitaa 8

~ Mtaa wa Tegeta A wameandikishwa 4430
~ Mtaa wa Kungulu wameandikishwa 2705
~ Mtaa wa Muungano wameandikishwa 2489
~ Mtaa wa Matosa wameandikishwa 3023
~ Mtaa wa Kulagwa wameandikishwa 2124
~ Mitaa 3 takwimu hazikupatikana kwa wakati

Hivyo kwa ujumla kwa jimbo la Kibamba ni mitaa minne ambayo takwamu zake bado hazijapatikana.

Mwenyekiti amesema hawategemi takwimu zitakazotolewa na serikali kuwa tofauti na hizi zilizokuwa zimerekodiwa.

Pia soma:
 
Hizi ni takwimu za kuhabarisha Wadau tu, au Kuna tatizo wameliona?
 
Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa kama walivyokuwa wanapelekewa na makarani wao walikuwa wakishirikiana na mawakala wa vyama vyote ndani ya kituo husika.

Kata ya Kwembe yenye mitaa 9 ilikuwa na vituo 19

Mtaa wa King’azi B ulikuwa na vituo 2 wameandikishwa wananchi 3466

Mtaa wa King’azi A ulikuwa na vituo 2 vya uandikishaji wameandikishwa wananchi 1886

Mtaa wa Kwembe ulikuwa na vituo 5 vya uandikishaji wamendikishwa 2964

Mtaa wa Buguruni ulikuwa na vituo 3 vya uandikishaji wameandikishwa wananchi 2773

Mtaa wa Mji Mpya ulikuwa na kituo 1 cha uandikishaji wameandikishwa wananchi 1561

Mtaa wa Mlonganzila ulikuwa na vituo 2 vya uandikishaji wameandikishwa wananchi 1772

Mtaa wa Mpakani ulikuwa na vituo 2 vya uandikishaji wameandikishwa wananchi 2236

Mtaa wa Msakuzi ulikuwa na kituo 1 cha uandikishaji wameandikisha wananchi 1834

Mtaa wa Ngeteni ulikuwa na kituo 1 cha uandikishaji – takwimu zake hazijapatikana kwa wakati
HAKUNA MAJINA HARAMU HAPO WASIJE WAKASEMA BAADAE KUNA MAJINA MENGI SIYO CHADEMA WAHUNI TUNAWAJUWA
 
Maskini chadema dah ,
Mtaa wa Ngeteni wanajiandikisha wananchi 1648...

halafu mtaa wa Mlongazila umepotosha sio wananchi 1772 waliojiandikisha ni 1978 pekee...

Hata Kingazi B umepotosha waliojiandikisha ni 4052, na sio 3466 kama ulivyo potosha...

karibu takwimu nzima ya chadema kuhusu uandikishaji kibamba ni upotoshaji mtupu 🐒
 
Maskini chadema dah ,
Mtaa wa Ngeteni wanajiandikisha wananchi 1648...

halafu mtaa wa Mlongazila umepotosha sio wananchi 1772 waliojiandikisha ni 1978 pekee...

Hata Kingazi B umepotosha waliojiandikisha ni 4052, na sio 3466 kama ulivyo potosha...

karibu taarifa nzima ni upotoshaji mtupu 🐒
WAHUNI CHADEMA
 
Nani kapotosha Mkuu, mimi au aliyetoa taarifa hii?
 
09 November 2024

Baada ya uchafuzi wa mkurugenzi na watendaji dhidi ya uteuzi wa wagombea jimbo la Kibamba watoa tamko

LIVE :FIRE: VIONGOZI WA CHADEMA JIMBO LA KIBAMBA NA UBUNGO WANATOA TAMKO LAO​

View: https://m.youtube.com/watch?v=DeKg9FBTCAk

Viongozi wa CHADEMA jimbo la Kibamba na Ubungo wakitumia kazi data walizonazo waongea leo jumamosi tarehe 9 November 2024 kuhusu kuweka mapingamizi ya kuenguliwa wagombea wa CHADEMA

Wenyeviti wa CHADEMA majimbo ya Kibamba na Ubungo huku wakiongozana na wagombea wa CHADEMA mitaa yote ya Kibamba na Ubungo wanaongea na waandishi wa habari ili kufahamu kilichofanyika na wakurugenzi, wasimamizi wa uchaguzi, watendaji wa kata, DC, mwanasheria wa halmashauri ya Ubungo na wabunge wa CCM wa majimbo ya ..... Prof. Kitila Alexander Mkumbo Alexander jimbo la Ubungo.... Mh.Issa Mtemvu mbunge wa Kibamba ...

Ueuguaji huo haukufuata kanuni kwa mfano mjasiliamali mkurugenzi huku manispaa ya Ubungo imetenga fedha shilingi milioni 975 kwa ajili ya wajasiliamali hili ni jambo moja walilomuwekea mgombea mmoja wa CHADEMA aliye mjasiliamali, mtaa wa Temboni kata ya Temboni kama Kiula Ernest... mgombea wa CCM aliyeandika kuwa ni mjasiliamali ameteuliwa huku wa CHADEMA anaenguliwa..

Wagombea wa CCM wengi wameweka shughuli zao wanazofanya ni wafanyabiashara ingawa mtaani tunajua ni waganga wa kienyeji. CHADEMA tumewawekea pingamizi wagombea wafanyabiasha wa CCM walete ushahidi wa leseni, TIN Number na kulipa kodi sahihi ...
 
Back
Top Bottom