badru yassin
Member
- Oct 22, 2016
- 7
- 2
bei inatofautiana na size that whymkuu ungeweka mchanganuo wa products na bei hapahapa
hi..
kwa yoyote anaetaka bidhaa za (wholesale only)
1.disposable cups,mifuko,plates
2.baby diapers pcs 34,36,38; 5 in 1 for 46000tsh+vat
anitafute +905531770242 whatsapp.
kwa vikombe price zinatofautiana na size ya vitu husika
ooh...wapi sijaeleweka?Mimi sjakuelewa
Mkuu taja kitu kimoja kimoja na bei yake, hii ni biashara kwanini uone uvivu?ooh...wapi sijaeleweka?
mbona hapo kila kitu kipo open sanaMkuu taja kitu kimoja kimoja na bei yake, hii ni biashara kwanini uone uvivu?
Wateja tupo lakini ukiweka bayana tunakujia whatsap
HawaKwa ivo ni ngum watu kukuelewa changanua
mkuu ungeweka mchanganuo wa products na bei hapahapa