Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
49,739
72,700
20250422_140119.png
 
NIMEIPENDA kofia ya made in china

Hii vita china mshindi hana cha kupoteza
Trump ni mpuuzi mwenzake Biden alikuja na sera ya kuyapa makampuni ruzuku kuyapunguzia gharama za uzalishaji yawekeze zaidi Marekani yeye kaja kuvuruga kila kitu.
 
Back
Top Bottom