Vijana wawili wamuua hawara wa Mama yao

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
996
743
Hi imetokea kweli katika kijiji kimoja Wilayani Karatu.

Ilikuwa hivi...

Mzee mmoja ambaye anaogopwa sana kwa ajili ya kuaminika kuwa ni mchawi katika kijiji kimoja wilayani Karatu alikuwa anatembea na mke wa mtu, huku akijua mzee yule ameshajua mpango huo wa uzinzi mzee huyu anayeogopwa sana hapa kijijini aliamua kumroga huyu mzee awe zezeta ili aendelee kuvunja amri ya 6 na mkewe huyu mzee mwingine. Kiukweli mzee wa watu muda si mrefu akawa zezeta, na uzezeta ulidumu kwa miaka 3. Lengo hasa la kumzezetesha mwenzake ni kuhakikisha huyu mzee hawezi tena kufuatilia nyendo zao na pia asiingilie shughuli zao za mapenzi. (Ofcourse siamini mambo za kichawi lakini mazingira yaliyokuwepo yalilazimisha mimi kuamini hivyo)

Mzee huyu anayeibiwa amezaa watoto wa4 wote wanaume ingawa hawa wawili wa mwisho inasemekana sio wake. Katika hiyo miaka mi3 ya uzezeta wa mzee watoto wake wakubwa wa2 walikuwa secondary na kwa bahati mbaya baada ya miaka4 wakawa wamefeli na kurudi kijijini. Vijana hawa walikuwa wanapata shida sana kuona jinsi mama yao anavyokuwa mdhaifu mbele ya huyu mwizi na mchawi na pia jinsi babayao alivyofanywa bila kuwa na kosa lolote, mzee anaonewa

Baada ya kuona hivyo vijana hawa wakampeleka mzee wao kwenye maombi Arusha -Efata, mzee akapona na kurudi, so alivyorudi tu hakukaa sana akakata kamba na kuzikwa. Ofcourse kama kawaida ikaaminika yule mzee mwizi na mchawi ndio ameroga huyu mzee wa watu na kumuua kabisa ali aendelee kula tunda buree..

Vijana wale wakubwa wawili walilia sana siku ya msiba hasa makaburini, mzee muuaji hakuonekana siku hiyo ya kuzika ila alitokea siku ya pili. Vijana walimaindi lakini hawana la kufanya.

NG'OMBE DUME AKAUZWA.

Mzee Marehemu alikuwa ameacha ng'ombe dume 2 na jike 7. Vijana wawili wakati wanapanga mikakati ya kujiajiri wakafikiria kuuza dume moja na kupata hela ya mtaji, huku wakiwaza hayo, kumbe yule ng'ombe dume alikuwa ameshauzwa kwa kauli na yule mzee mwingine mwizi na mchawi akishirikiana na mama yake na vijana hawa wawili.

Asubuhi baada ya siku ya mnada wa Mto wa Mbu, vijana walikuta dume moja halipo zizini. baada ya kumwuliza mama yao dume liko wapi mamayao akawambia limeuzwe, na baada ya kumbana pesa iko wapi mama yao bila aibu akawambia ipo kwa babayenu mdogo huku juu. Vijana damu zilichemka na wakatoweka kama siku 2 ivi.

Siku ya tatu vijana wale walionekana wakipita na toyo kwa kasi ya ajabu hadi kwa mzee mwizi na mchawi. Kitendo cha dakika 2 mzee huyu alikuwa marehemu, wakaingia ndani wakachukua pesa zilizokuwepo na kusepa. Mpaka leo hawajajulikana wako wapi.

Jambo hili lilikuwa gumzo kubwa Karatu yote na mwaka wote wa 2013, baada ya hapo mimi nilihamia Singida so sijajua sana habari za huko nyuma ila sasa nimeileta hapa kwenu kama challenge.

Ivi ungekuwa wewe ndio vijana wale wawili ungefanyaje, mana sasa huku nyuma wameacha ng'ombe wengine na kasi ya yule mama yao inaonekana atadaka bobo lingine la kimburu na kuendelea kuponda mali zilizobakia. Je ungechukua hatua waliochukua au ungemwachia baba yako mpya aendelee kuvunja amri ya 6 na kula ng'ombe au ungetaka kugawanywa urithi??

Hiki ni kisa cha kweli kilichotokea maeneo ya Karatu na kesi ipo mhakamani nisingpenda kutaji kijiji na mtaa. Lakini du wanaume waonevu kaburi linawasubiria.
 
Ushahidi wa kimazingira, unaonyesha mzee mwizi marehemu, alishathili kuuwawa kifa cha kinyama! Hizo dk 2, tu marehemu flat, hazikutosha!...
 
yaani inashangaza sana
Mabimkubwa unakuta mileage imesoma ila wapi bado tu sasa matokeo yake maafa ustahmilivu hawana basi wawe na stara japo kidogo lakini wapi wanakuwa moto utadhani ndo wapo 18 ahh inashangaza sana.
 
safi tu! hilo zee Jizi ni Miongoni mwa majitu mashenzi yaliyopo hapa duniani/ kazi kubwa ya mazee ya aina hii ni kuharibu familia za watu.
 
Hii kitu inayoitwa mapenzi imeshagharimu roho nyingi Sana tangu nyakati za mwanzo wa dunia
Sasa na nyie wazee wa ramli nashauri mngeacha huu utaratibu wa kitumia nguvuzenu vibaya...kwani huko kwenu hamuongozwi na "code of conduct"?
 
Wangelitifoa macho na kulila kiboga kisha kuliacha liteseke na dunia.

Usikute huyo mama nae ni mchawi na penzi lao lbd lilianzia huko huko uchawini.
 
Nikifa napenda mali yangu ibaki kwa mke wangu hasa kama itakuwa watoto ni wadogo na wanasoma.
Najua mama yao ndiyonatakuwanna uchungu wa kweli,kuliko kaka ,dada yangu au mwingine,maana wao nao wana wake na waume zao,ni rahisi kuwatupa watoto wangu wakawajenga wao.
shida ni katika hali kama ya hii post,wanawake wakipata mabwana baada ya kifo cha mume wanatawaliwa na NYEGE zaidi kuliko akili,unaanzaje kuuza vyako ili UTOMBEKE badala ya yeye kuja na vyake ndo viuzwe?
Hao watoto wamemuua muda mfupi sana,ilipaswa ubwabwa aite UWAWA kwanza.
asante kwa vijana hao mashujaa,na mungu awaongeze ili madowezi waanze kupata hukumu hapa kabla ya kwa mungu.
 
Wewe na kaka ako muendelee tu kujificha huko Singida mkirudi karatu kwa tamaa za kufata Ng'ombe wengine itawakost

By the Way Bora mlimrestisha in pisi...Bazaz huyo
 
Sasa na nyie wazee wa ramli nashauri mngeacha huu utaratibu wa kitumia nguvuzenu vibaya...kwani huko kwenu hamuongozwi na "code of conduct"?
Roho ya mtu ni handaki moja refu sana hakuna mtu anayetisha na katili kabisa kama mtu aliyeguswa kwenye hisia zake za ndani kabisa halafu akashindwa kuhimili maumivu
 
Hahaha
Nawasiwasi na wewe
Unaweza kuwa mmoja wao wa vijana hao
Kwanini hujarudi Karatu!!

Kiukweli hao vijana iliwalazimu kutenda hayo
Na hilo lizee siwezi lisitikia maana linastahili hilo
 
Ako alikuwa akufwe tu.....ako anad a...m i....a mama wa watu mpaka inakuwa shida.......aende aisee.......
 
Mimi nnachokijua ni kuwa watoto wa kiarusha wana nygee nyingi sana.
Anayebisha ani pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…