je nitawezaje kutuma,?
Dah CDM ARUSHA INASIKITISHA. YANI INASAPOTI MTU KUTOKUWA NA NIDHAMU DAH SASA CDM a.k.a Chadema Chama cha watetea watukutu na wasio na nidhamuNamba ya simu itangazwe na uongozi wa chadema kwa taratibu rasmi tusije tukaliwa fedha zetu
Ni laki 8 mkuu, huwenda mleta mada alikua na haraka tu.Mabilionea wa Arusha mpaka sasa hivi wamechanga tsh 800......teh teh teh teh mbwembwe nyingi kumbe mfukoni hamna kitu
Kweli CDM ni Chama ambacho kimepoteza uelekeo paka kufikia kumtetea mtukani na asiye na nidhamuVijana, wadau na wanaharakati wamefungua vikundi vya mtandao wa kijamii kwa ajili ya kuchanga fedha za kumsaidia kijana wa Arusha aliyepatikana na hatia ya kumtukana Rais na kuhumiwa faini ya Sh7 milioni au kifungo.
Kijana huyo, Isaack Habakuki wa Arusha alipatikana na hatia ya kumtukana Rais kwa kutumia ukurasa wake wa facebook na ametakiwa kulipa fedha hizo kwa awamu mbili na kuzikamilisha ifikapo Julai 7 au kwenda jela miaka mitatu.
Diwani wa Kata ya Levolosi jijini Arusha (Chadema), Ephata Nanyaro ambaye anaratibu michango hiyo kwa mkoa wa Arusha, alisema mpaka sasa wameshakusanya Sh 800,000 ambazo walizipata kwa njia ya kutuma kwa simu.
Alisema wanatarajia kupata Sh1.7 milioni kutoka mikoa yote.
"Tumesikia familia yake imeweza kutoa 3.5 millioni pekee, sisi tumejitolea kumsaidia ili afikishe 7 millioni kabla ya tarehe 7 mwezi julai,” alisema.
Chanzo: Mwananchi
Nice move! CDM/CCM na wote wapenda haki mchangieni. hii ni sheria kandamizi. Penalty is not proportional to the offense committed!Vijana, wadau na wanaharakati wamefungua vikundi vya mtandao wa kijamii kwa ajili ya kuchanga fedha za kumsaidia kijana wa Arusha aliyepatikana na hatia ya kumtukana Rais na kuhumiwa faini ya Sh7 milioni au kifungo.