johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,005
- 168,417
Ndio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe.
Natoa tu tahadhari kwa vijana wajifunze kwanza historia ya Nchi hii kwa sababu Tanganyika na Kenya hazifanani kabisa.
Siasa ya Ujamaa ilikuwa kama Dini na imetulemaza sana ndio sababu Watanzania wanaongoza Kwa Uvivu wa nguvu na kufikiri Barani Africa kila kitu Wanataka wafanyiwe.
Sisi tunaoelewa Upinzani wa bongo tunajua kabisa hata Mbowe na Msigwa hawana ugomvi wowote ni Marafiki wakubwa tu na boss wao ni Mmoja.
Vijana someni Sayansi na Teknolojia achaneni na Uchawa.
Ahsanteni Sana 😂🔥