Hi tabia ya wanaumme kupiga mizinga wachumba wao, wake wao, marafiki zao wa kike imeshamiri sana katika vijana walio zaliwa kuanzia miaka ya 90s mpaka 2000 kwasbb moja.
Hawataki kupambana na maisha (hustle)kupata riziki halali, hiki ni kizazi cha betting mkeka, kizazi cha ushabikia wa mpira kuanzia asubuhi mpaka jioni, kizazi cha Forex online bussiness, kizazi cha dili za udalali. Hufikiri kwamba pesa ni rahisi kuipata kiasi hicho ndo maana kjomba omba wachumba wao
Sisi wa miaka ya 80s na kuendelea kuomba pesa mkeo au mpezi tunaona ni mwikoo ni kujidhalilisha wanaumme wako unapambana mpaka uipate kama mke anakupnea huruma anakupa kwa hiari bila kumuomba.
Kuna Mama moja hapa jf ameweka uzi wakupigwa mzinga na mchumba yake mpya mpaka sie wanaumme tukaona aibu, mwanaumme utanuna je kwasbb ujapewa pesa na demu wako, badilikeni vijana mna shusha hadhi ya kua mme.