Vijana kumi bora wanaostahili kuingia IKULU/kuwa viongozi wa nchi

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,647
Salam sana watanganyika wenzangu

Leo nimekaa kidogo nikajipa muda wa kurafakari Ni vijana gani hasa walijipambanua kuwa wao Ni bora na wana sababu zote za kuingia IKULU km Rais wa nchi.

Hapa nitazungumzia kizazi cha Tatu baada ya serikali ya kwanza ya nyerere

1.JOHN MNYIKA
Huyu kijana nilianza kumfuatilia mwanzoni mwa miaka ya 2000 Unaweza ukasema Ni kijana bora aliyejipambanua kupitia vipaaza sauti vya bunge

Ni mtu mkweli sana huwezi kuta anaongea uongo jukwaani km kitu Ni cha uongo huamua kunyamaza kimya kipite

Ni vijana ambao magufuli anawapenda sana huyu ndo kijana wa kwanza kutakiwa na aende ahamie upande wa pili akaikwae nafasi ya uwaziri nyeti tu ila Bahati nzuri hakutetereka aliendelea kusimamia katika kile anachokiamini
Huu Ni msimamo imara sana kwa kiongoz anaejitambua kwani kuwa kiongozi Ni pamoja na kuwa na maono ya kuangalia mbali

Tunakumbuka Sakata la dk slaa alivyokuwa anang'oka chadema Ni wazi kuwa MNYIKA aliumizwa sana na Sakata lile lakini alikuwa mtulivu na hakutaka kuchukua maamuzi juu juu alikaa chini akatulia akaacha yakapita MNYIKA hakukubaliana na lowasa kugombea Urais kupitia chadema lkn alionesha maturity ya nn maana ya uongozi

MNYIKA amekuwa kiongozi wa Chama na amefanya kwa ufanisi mkubwa

Ameepuka mitego mingi ya kisiasa

Naamin km akiwa Rais wa nchi atafanya makubwa zaidi huwa namfananisha na kijana mdogo Jerald kushner mshauri mkuu wa Rais wa USA

2 MWIGULU NCHEMBA
Huyu kijana ameiva na anafaa kuwa kiongozi wa nchi ukisikiliza anavyoongea unaona Ana kitu kikubwa sana anataka akitoe kwa jamii Ni kiongozi hasa sijawah kukutana nae ila anauwezo mkubwa sana

Tatizo la vijana wa ccm huzidisha mahaba ya kichama na kupoteza creatability ya kuaminiwa na watu wote

Ndio maana watu kama kina Harrison Mwakyembe heshima yao ilishuka kwenye jamii pmj na kuwa wapo very gifted kutokana na kuendekeza mambo ya Chama

3 SULEIMAN JAFO

Kasi ya jafo kisiasa inapanda kwa kasi sana Ni kijana fulan hivi mwenye Nidhamu katika uongozi
Hii njia ilimfanya Rais msaafu kikwete kupanda sana hadi kuwa kiongozi wa nchi kwa kuwa alikuwa Anafanya kwa unyenyekevu kwa kila kazi anayopangiwa na mkubwa ukiangalia jafo wakat wa kikwete hakuwah kuwa kiongozi ila alivyoingia magufuli akapata nafasi ameonyesha uwezo mkubwa ndani ya muda mfupi sio siri Ni kijana mchapakazi namtabiria makubwa asipobadilika

4. ANTONI MTAKA
Very loyalty mtulivu mnyenyekevu anajua muda sahihi wa kuchukua hatua sio ccm maniac kivile he can be a better President

5 JULIUS MTATIRO
Kijana mwerevu mwenye akili za kutosha ila Bahati mbaya ameamua kukunja mbawa kuepuka Shari ila huyu bado Ni mtu bora sana kuwa kiongozi

6. NAPE NNAUYE
Huyu Unaweza Ni mwanasiasa zaidi kuliko kiongozi ila Kiukweli huyu kijana Ana maono makubwa sana Tena sana

Amepitia Mengi kwenye siasa alishawahi kugombana na kikwete kwa kumpinga hadharani kuwa hafai kuwa Rais ila badae alisimama Tena na Sasa amegombana na magufuli na amini atasimama Tena namuombea kwa Mungu afike mbali ila apunguze mahaba ya Chama watu wanalichukia Chama lake

7SHAMSA VUAI
Huyu kijana namuelewa sana japo umri umesogea kidogo anafaa na anaweza kuwa Rais wa jamuhuri ya muungano
Japo kwa Sasa upepo mbaya umempitia lkn naamini ipo siku atarudi kwenye chati anaakili nyingi ila yafaa apunguze upole.. Upole ukizidi uongozi hukosa dira

8.HUSSEIN MWINYI
Huyu Sina haja ya kumwelezea si mtu wa mitandaoni ila Ni mkarimu na mpole anapenda sana ibada hana mambo Mengi ameshaiva anafaa kuwa kiongozi wa nchi

9.TUNDU LISSU
Unaweza kusema Ni Bahati mbaya tu yupo upinzani
Kwa siasa za Tanzania na Africa kiongozi akiwa upinzani Ni mateso na uonevu

Nina uhakika Tindu lissu Angekuwa ccm kila mtanzania Angekuwa anaimba Jina lake
Very talented, charismatic, patriots
He is a great man to be a President

10. Nataman nimweke mwanamke ila nimekosa mwanamke anayefaaa kuwa Rais Tanzania miaka 20 ijayo

NB watu km kina makam mbarawa, Mwakyembe, majaliwa na wengine sijawataja kwa kuwa muda wao Ni Sasa huko mbeleni hawana nafasi
 
Too absurd Tz hatuna presidential material sioni mtu hapo
 
Mkuu hata kama watumia uhuru wa mawazo si kwa namna hii, yaani mwigulu awe raisi, yaani hapo nimeona wawili lissu na mnyika

jaffo yuko njema ila atakuwa kama j.k tu (si mtu wa shari )

huyu vuai nimesikia tangu nikiwa pimbi sidhani kama ni kijana bado
 
Sichangii chochote mkuu .
 
Zitto anatakiwa kua NUMBER 1 kwenye list. Ni mtu mmoja anaezijua WIZARA zote, sambamba na BoT, kuanzia historia za takwimu mpaka uwajibikaji. (Ana uwezo hata kuwatungia MITIHANI mawaziri/naibu waziri wote na wakafeli).

Pia, ana MITAZAMO ya mbali sana, yenye TIJA kwa taifa letu, japo serikali hua inaamua tu kutokum sikiliza kwa makusudi, ila wanazunguka na mwisho wanarudi kwenye IMPACT anazo waonya.
 
Tatizo la vijana wa ccm huzidisha mahaba ya kichama na kupoteza creatability ya kuaminiwa na watu wote

Ndio maana watu kama kina Harrison Mwakyembe heshima yao ilishuka kwenye jamii pmj na kuwa wapo very gifted kutokana na kuendekeza mambo ya Chama

Ni tatizo linaloonyesha sio kama inavyoonekana.
Hata refa anayo timu yake.
 
Zitto anatakiwa kua NUMBER 1 kwenye list. Ni mtu mmoja anaezijua WIZARA zote, sambamba na BoT, kuanzia historia za takwimu mpaka uwajibikaji. (Ana uwezo hata kuwatungia MITIHANI mawaziri/naibu waziri wote na wakafeli).

Pia, ana MITAZAMO ya mbali sana, japo serikali hua inaamua tu kuto kumsikiliza kwa makusudi, ila wanazunguka na mwisho wanarudi kwenye IMPACT anazo waonya.
Akili za Zitto ni za kiuchambuzi na uzuaji wa mitafaruku ndani ya jamii !! Yaani ni mwana harakati. Mpe nchi uone atakavyo finyanga kazi !
 
Salam sana watanganyika wenzangu

Leo nimekaa kidogo nikajipa muda wa kurafakari Ni vijana gani hasa walijipambanua kuwa wao Ni bora na wana sababu zote za kuingia IKULU km Rais wa nchi.

Hapa nitazungumzia kizazi cha Tatu baada ya serikali ya kwanza ya nyerere

1.JOHN MNYIKA
Huyu kijana nilianza kumfuatilia mwanzoni mwa miaka ya 2000 Unaweza ukasema Ni kijana bora aliyejipambanua kupitia vipaaza sauti vya bunge

Ni mtu mkweli sana huwezi kuta anaongea uongo jukwaani km kitu Ni cha uongo huamua kunyamaza kimya kipite

Ni vijana ambao magufuli anawapenda sana huyu ndo kijana wa kwanza kutakiwa na aende ahamie upande wa pili akaikwae nafasi ya uwaziri nyeti tu ila Bahati nzuri hakutetereka aliendelea kusimamia katika kile anachokiamini
Huu Ni msimamo imara sana kwa kiongoz anaejitambua kwani kuwa kiongozi Ni pamoja na kuwa na maono ya kuangalia mbali

Tunakumbuka Sakata la dk slaa alivyokuwa anang'oka chadema Ni wazi kuwa MNYIKA aliumizwa sana na Sakata lile lakini alikuwa mtulivu na hakutaka kuchukua maamuzi juu juu alikaa chini akatulia akaacha yakapita MNYIKA hakukubaliana na lowasa kugombea Urais kupitia chadema lkn alionesha maturity ya nn maana ya uongozi

MNYIKA amekuwa kiongozi wa Chama na amefanya kwa ufanisi mkubwa

Ameepuka mitego mingi ya kisiasa

Naamin km akiwa Rais wa nchi atafanya makubwa zaidi huwa namfananisha na kijana mdogo Jerald kushner mshauri mkuu wa Rais wa USA

2 MWIGULU NCHEMBA
Huyu kijana ameiva na anafaa kuwa kiongozi wa nchi ukisikiliza anavyoongea unaona Ana kitu kikubwa sana anataka akitoe kwa jamii Ni kiongozi hasa sijawah kukutana nae ila anauwezo mkubwa sana

Tatizo la vijana wa ccm huzidisha mahaba ya kichama na kupoteza creatability ya kuaminiwa na watu wote

Ndio maana watu kama kina Harrison Mwakyembe heshima yao ilishuka kwenye jamii pmj na kuwa wapo very gifted kutokana na kuendekeza mambo ya Chama

3 SULEIMAN JAFO

Kasi ya jafo kisiasa inapanda kwa kasi sana Ni kijana fulan hivi mwenye Nidhamu katika uongozi
Hii njia ilimfanya Rais msaafu kikwete kupanda sana hadi kuwa kiongozi wa nchi kwa kuwa alikuwa Anafanya kwa unyenyekevu kwa kila kazi anayopangiwa na mkubwa ukiangalia jafo wakat wa kikwete hakuwah kuwa kiongozi ila alivyoingia magufuli akapata nafasi ameonyesha uwezo mkubwa ndani ya muda mfupi sio siri Ni kijana mchapakazi namtabiria makubwa asipobadilika

4. ANTONI MTAKA
Very loyalty mtulivu mnyenyekevu anajua muda sahihi wa kuchukua hatua sio ccm maniac kivile he can be a better President

5 JULIUS MTATIRO
Kijana mwerevu mwenye akili za kutosha ila Bahati mbaya ameamua kukunja mbawa kuepuka Shari ila huyu bado Ni mtu bora sana kuwa kiongozi

6. NAPE NNAUYE
Huyu Unaweza Ni mwanasiasa zaidi kuliko kiongozi ila Kiukweli huyu kijana Ana maono makubwa sana Tena sana

Amepitia Mengi kwenye siasa alishawahi kugombana na kikwete kwa kumpinga hadharani kuwa hafai kuwa Rais ila badae alisimama Tena na Sasa amegombana na magufuli na amini atasimama Tena namuombea kwa Mungu afike mbali ila apunguze mahaba ya Chama watu wanalichukia Chama lake

7SHAMSA VUAI
Huyu kijana namuelewa sana japo umri umesogea kidogo anafaa na anaweza kuwa Rais wa jamuhuri ya muungano
Japo kwa Sasa upepo mbaya umempitia lkn naamini ipo siku atarudi kwenye chati anaakili nyingi ila yafaa apunguze upole.. Upole ukizidi uongozi hukosa dira

8.HUSSEIN MWINYI
Huyu Sina haja ya kumwelezea si mtu wa mitandaoni ila Ni mkarimu na mpole anapenda sana ibada hana mambo Mengi ameshaiva anafaa kuwa kiongozi wa nchi

9.TUNDU LISSU
Unaweza kusema Ni Bahati mbaya tu yupo upinzani
Kwa siasa za Tanzania na Africa kiongozi akiwa upinzani Ni mateso na uonevu

Nina uhakika Tindu lissu Angekuwa ccm kila mtanzania Angekuwa anaimba Jina lake
Very talented, charismatic, patriots
He is a great man to be a President

10. Nataman nimweke mwanamke ila nimekosa mwanamke anayefaaa kuwa Rais Tanzania miaka 20 ijayo

NB watu km kina makam mbarawa, Mwakyembe, majaliwa na wengine sijawataja kwa kuwa muda wao Ni Sasa huko mbeleni hawana nafasi
Aisee...!
 
Back
Top Bottom