Pre GE2025 Vijana Kilosa waitwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Sep 4, 2024
117
144
Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kufanya ukaguzi kwenye baadhi ya vituo hivyo Jimbo la Kilosa na Mikumi, amesema zoezi hilo linaendelea vizuri.

 
Back
Top Bottom