Viingilio Mechi ya Simba vimeonesha mnawajali mashabiki na hamna tamaa

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
8,602
19,435
Nimefatilia viingilio katika mechi ya ufunguzi wa African football league ambapo kiingilio cha chini ni 7000 kwa kweli nimefurahishwa japo mimi ni shabiki kamili wa Yanga ila kwa hili Simba mmeonesha kuwajali mno mashabiki na kuepuka tamaa.

Shida itakuja Hilo nyomi lake kwa hiyo nadhani itakuwa vema uuzaji wa tiketi uwe wa umakini sana ili uwanja usije kuzidiwa uwezo.

Team nayo ijiandae kushinda ili kujenga taswira Bora ya nchi yetu kimataifa kwani asilimia kubwa ya wapenda soka watafatilia hili tukio.

Binafsi napenda nione mkienda top 4 ili Mamelody aje hapa.
 
Nimefatilia viingilio katika mechi ya ufunguzi wa African football league ambapo kiingilio Cha chini ni 7000 kwa kweli nimefurahishwa japo Mimi ni shabiki kamili wa Yanga ila kwa hili Simba mmeonesha kuwajali mno mashabiki na kuepuka tama...
Wamepunguza bei ili wajaze uwanja
 
Nimefatilia viingilio katika mechi ya ufunguzi wa African football league ambapo kiingilio cha chini ni 7000 kwa kweli nimefurahishwa japo mimi ni shabiki kamili wa Yanga ila kwa hili Simba mmeonesha kuwajali mno mashabiki na kuepuka tamaa.

Shida itakuja Hilo nyomi lake kwa hiyo nadhani itakuwa vema uuzaji wa tiketi uwe wa umakini sana ili uwanja usije kuzidiwa uwezo.

Team nayo ijiandae kushinda ili kujenga taswira Bora ya nchi yetu kimataifa kwani asilimia kubwa ya wapenda soka watafatilia hili tukio.

Binafsi napenda nione mkienda top 4 ili Mamelody aje hapa.
Ningepewa nafasi ya kupanga viingilio kule juu kijani ningeweka 5000 halafu bluu ningeweka ten
 
Back
Top Bottom