Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,251
- 13,922
Chumba cha mtihani ni mahala ambapo pameja vihoja vingi sana hasa kwa level kuanzia Darasa la 4 hadi elimu ya juu hata Masters!
Katika uzi huu naomba tukumbushane vihoja ambavyo tumekutana navyo kwenye chumba cha mtihani.
Mimi nakumbuka tukiwa undergaruate mama mmoja aliambiwa anyanyuke lile dawati alilokaa, sasa ile ananyanyuka ananyanyuka na dawati lake, msimamizi anamwqmbia aache dawati pale akagoma kuwa hawezi kutumia dawati lingine.
Kuna ingine Sister Du mmoja akahisiwa anapiga chabo kwenye kidesa fulani anacho, ile invigilator anamfuata akamuuliza hicho nn ulichoshika yule sister akanyooshq kidole kama anamwoneshq msimamizi kitu kwenye ceiling board ile jamaa anaangalia tu dada kakitumipi kidesa mdomoni fasta kameza.
Nyingine mwanangu mmoja anaona msimamizi anakaa sana karb yake akaanza kupenga Kamasi kila dakika kumkera invigilator!
Tupia kihoja chako cha chumba cha mtihani!