aj styles Member Feb 9, 2017 17 14 Mar 15, 2017 #1 Jamanii mitandao ya cm nyoko..Tigo Wamekuja na Halichachi Airtel wakaja na Halivundi Jana voda wakaja na Haliishi..Leo nasikia Zantel wanakwambia achana na Viporo...Lol Bado Haloteli
Jamanii mitandao ya cm nyoko..Tigo Wamekuja na Halichachi Airtel wakaja na Halivundi Jana voda wakaja na Haliishi..Leo nasikia Zantel wanakwambia achana na Viporo...Lol Bado Haloteli