Vifo vya wagombea urais mwaka 2015 (Magufuli, Lowassa na Anna Mghwira) vinatoa tafsiri gani katika ulimwengu wa kiroho?

Manfried

JF-Expert Member
Oct 11, 2024
805
2,452
Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature .

Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi.

Walichokosea Ccm, Chadema na Act ni kushindwa kutap na universe ili kupata matokeo chanya.

Magufuli - huyu nature ilimkataa Mara kibao yeye kuongoza Ila alikosa washauri wa KIROHO , misukosuko aliyokuwa anapitia ilikuwa mikubwa sana alibidi ikifika mwaka 2015 aendeleze Biashara zake na kusimamia Kampuni zake na sio kuongoza nchi.

Lowassa huyu nature ilimkatalia tangia mwaka 1995 ikamkatalia mwaka 2008 Ila akaendelea kulazimisha kutawala 2015 na mwisho akaumaliza uzee wake katika misukosuko.

Mama Anna Mgwira ACT Huyu hakuwa mtu wa siasa na alikuwa hajajiandaa kutawala hata kijiji Ila aliangukiwa zari akagombea Urais.

Wale ambao hamuelewi jinsi universe inavyofanya Kazi IPO hivi ukilikataa jambo KIROHO jambo hilo hilo kitakataliwa kimwili linaweza kuwahi au kuchelewa.

So universe Ina fanya kazi Kwa njia Kama hizo kupitia sauti za WATU n.k
 
Sio nature pekee..

Hiyo nafasi hapo juu inawindwa na Watanzania zaid ya Mil 60..

Hushangai mawaziri wakuu wastaafu karibu wote wapo?
 
Back
Top Bottom