Vifaa vya supermarket vinauzwa

Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,585
1,756
Salama wakuu

Vitu vifuatavyo vinauzwa

1.Shelves
a. single sided 8 @210,000 = 1,680,000
b. double sided 4 @320,000 = 1,280,000

2. Fridge double door 1,200,000

3. Ac samsung original 1,000,000 unapata na avs

4. Stand ya kuwekea maji makubwa 120,000

5. Bidhaa mbali mbali kama maziwa soda etc vina thamani ya 3,400,000 lakini unachukua kwa 2,700,000 havijaexpire bado

6. Vikapu vya kubebea bidaa 10 x 30000 = 300,000

7. Checkout counter 1 complete 1;000,000

8. Cash drawer na customer display pole 600,000

9. bango linalowaka taa 200,000 utanadili kitambaa cha jina tu

picha zitawajia baadaye kidogo kwa maelezo zaidi njoo pm

Sababu ya kuuza nahama kikazi na hii biashara inahitaji uangalizi wa karibu

mahali vilipo Tegeta Namanga Dar es salaam

Asanteni
 
supermarket-shelf.jpg
s0928795_sc7.jpg
checkout-counters-250x250.jpg
 
Picha hizo ni sample ila ndio vitu viko hivyo kama mtu yupo serious anaweza ntafuta lakini sio kukejeli biashara
 
hakuna anayekukejeli kama vitu viko dukani kwako kwanini utafute picha mtandaoni? weka picha za vitu ulivoorodhesha ambavyo tunaweza kuja kuviona kwa tutakao vutiwa na picha.

mfano:
78a79378e155dc296f1ce8daaccc84a6.jpg

7112d52475ebd518ca6f4efc07052382.jpg
 
A

Afu eti ifungiwe ,taishije
 
hakuna anayekukejeli kama vitu viko dukani kwako kwanini utafute picha mtandaoni? weka picha za vitu ulivoorodhesha ambavyo tunaweza kuja kuviona kwa tutakao vutiwa na picha.

mfano:
78a79378e155dc296f1ce8daaccc84a6.jpg

7112d52475ebd518ca6f4efc07052382.jpg
Tatizo shelves ziko disassembled lakini zinafanana na hizo ulizoweka meza na shopping basket ni kama hizo hapo jui
 
pamoja na office unaicha kwa shngap,,vp biashara kwa siku ulikua una uhakika wa kuuza shngap,,
vp na usalama pia,,,ninatokea tegeta madale,,
 
pamoja na office unaicha kwa shngap,,vp biashara kwa siku ulikua una uhakika wa kuuza shngap,,
vp na usalama pia,,,ninatokea tegeta madale,,
Frame nilirudisha ila sidhani kama imeshapata mtu mpaka sasa ipo tegeta namanga kwenye kona kabisa ambapo watu wote wanaona wanaotokea mjini kwenda bunju wastani faida pekee ilikua ni kama 100000 hadi 150000 kwa siku usalama upo sababu flame zipo nyingi sehemu moja afu ni barabarani na kuna walinzi ila ukitaka bidhaa zote kwa pamoja hadi na milango, kibanda cha mpesa na kila kitu 10m itatosha mwenye flame nakuunganisha naye nakupa na computer bure yenye system ya mauzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom