Ulimi umechubuka na vidonda vimetokea nashindwa kula vizur maana chumvi ikigusa balaa.ilianza kama kipele kidogooo kikaacha kidonda na kila cku kidonda kinakua kila siku.naomba kujua tatizo hili kitaalam linaitwaje,linasababishwaje na tiba yake nn..naomba msaada ndugu zangu