Videographer, photographer and graphic designer. Chagua huduma uitakayo hapa

Big dady 11

Member
May 21, 2023
54
59
Mambo vp wakuu,

Nafahamu sekra uliyopo au kazi unayofanya au biashara unayofanya utahitaji moja ya huduma hizi nitakazo zitaja hapa 👇👇
DOCOMENTARY(MAKALA)
Na produce, direct na kushoot documentary nzuri na za kuvutia.

Kwa taasisi na mashirika ya serikali na yasio ya serikali huwa zinafanya projects mbali mbali ni vizuri kila project muwe mnaandalia documentary (makala) hii itasaidia kushawishi sponsors au donors..
Mkihitaji mtu wa kuwaandalia documentary film tuwasiliane.

MUSIC VIDEOS
Kwa upande wa wasanii wa music ukisha andaa audio yako utahitaji ufanye video. Nafanya music video za gospel, bongo flavor, single n.k
Karibuni tufanye kazi.

FILAMU(MOVIES)
Kwa waigizaji na makundi ya sanaa mnaweza kuwa na kazi mnataka kuandaa ila mkakosa nani wa kudirect filamu yenu na nani atashoot filamu yenu, nipo karibuni tufanye kazi.

EVENTS
Una sherehe au tukio lolote linalohitaji picha na video nicheki tufanye kazi?
Wedding
Send off
Kitchen party
Happy birthday party
Kumtoa mwali n.k
Nafanya coverage za event zote

VIDEO ZA MATANGAZO
Kwa makampuni na wafanya biashara wadogo kwa wakubwa matangazo ni sehemu ya marketing.

Kwa wenye maduka ya simu,vifaa vya electronics, nguo n.k naweza nikawatengenezea short video za matangazo na duka na bidhaa zako kwa ajili ya kupost social media.

Pia ntakutengenezea posters na picha kali kwa ajili ya kupost social media na kuvutia wateja wako..
Nicheki tufanye kazi.

CONTENT CREATOR (mtengeneza maudhui)
Unaweza ukawa na media yako ila ukakosa mtengeneza maudhui (content creator) wa kuandaa vipindi kwa media yako. Nitafute tufanye kazi.

Nimeongelea kwa ufupi sana kwa kila kipengele ila unaweza ukawa unahitaji maelezo ya ziada kwa kulingana na unachohitaji kufanya.. ni vizuri ukanicheki WatsApp 0692477610. Tutaongea kwa upana zaidi pia ata ukitaka sample zangu za kazi utazipata.siwezi post samples za kazi public kulinda privacy ya wateja nliowahi kufanya nao kazi

Contact 0692477610
 
Mambo vp wakuu,

Nafahamu sekra uliyopo au kazi unayofanya au biashara unayofanya utahitaji moja ya huduma hizi nitakazo zitaja hapa 👇👇
DOCOMENTARY(MAKALA)
Na produce, direct na kushoot documentary nzuri na za kuvutia.

Kwa taasisi na mashirika ya serikali na yasio ya serikali huwa zinafanya projects mbali mbali ni vizuri kila project muwe mnaandalia documentary (makala) hii itasaidia kushawishi sponsors au donors..
Mkihitaji mtu wa kuwaandalia documentary film tuwasiliane.

MUSIC VIDEOS
Kwa upande wa wasanii wa music ukisha andaa audio yako utahitaji ufanye video. Nafanya music video za gospel, bongo flavor, single n.k
Karibuni tufanye kazi.

FILAMU(MOVIES)
Kwa waigizaji na makundi ya sanaa mnaweza kuwa na kazi mnataka kuandaa ila mkakosa nani wa kudirect filamu yenu na nani atashoot filamu yenu, nipo karibuni tufanye kazi.

EVENTS
Una sherehe au tukio lolote linalohitaji picha na video nicheki tufanye kazi?
Wedding
Send off
Kitchen party
Happy birthday party
Kumtoa mwali n.k
Nafanya coverage za event zote

VIDEO ZA MATANGAZO
Kwa makampuni na wafanya biashara wadogo kwa wakubwa matangazo ni sehemu ya marketing.

Kwa wenye maduka ya simu,vifaa vya electronics, nguo n.k naweza nikawatengenezea short video za matangazo na duka na bidhaa zako kwa ajili ya kupost social media.

Pia ntakutengenezea posters na picha kali kwa ajili ya kupost social media na kuvutia wateja wako..
Nicheki tufanye kazi.

CONTENT CREATOR (mtengeneza maudhui)
Unaweza ukawa na media yako ila ukakosa mtengeneza maudhui (content creator) wa kuandaa vipindi kwa media yako. Nitafute tufanye kazi.

Nimeongelea kwa ufupi sana kwa kila kipengele ila unaweza ukawa unahitaji maelezo ya ziada kwa kulingana na unachohitaji kufanya.. ni vizuri ukanicheki WatsApp 0692477610. Tutaongea kwa upana zaidi pia ata ukitaka sample zangu za kazi utazipata.

Contact 0692477610
Hilo tangazo ulilotengeneza kwa buku teni ni kali sana.

Hivi ww kwa akili yako unategemea nikupe unishootie tangazo wakati ww mwenyewe hujui hata kuandaa tangazo lako mwenyewe? Hakuna bei, hakuna sample, hata link ya ig au youtube hamna?
 
Back
Top Bottom