Video: Zailyssa akaribishwa kwenye familia ya Manara, apokelewa na Mama Mkwe na wifi zake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
4,023
14,177
Baada ya kufunga Ndoa iliyohudhuriwa na Mastaa mbalimbali nchini, hatimae Manara ampeleka mkewe kwa familia yake (Ukaribisho).

Kwenye ukaribisho huo Mke wa Manara amepokelewa na Mama Mkwe, Mawifi na baadhi ya ndugu.

ANGALIA VIDEO HAPA


Sherehe ya ukaribisho ilifanyika Mbezi Beach nyumbani kwa wazazi wa Haji Manara.

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Back
Top Bottom