Video ya mzee inayotrend amebeba mfuko na amevaa kanzu amepotelea hewani kwenye kontena Kenya ni ya kweli?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
13,749
34,825
Kuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
 
Ni kweli! Yesu amekuja mara ya tatu akaona duniani hapafai kabisa akarudi zke mbinguni, yupo kuume kwa Mungu baba!
Ila mkuu si ungeweka hiyo video hapa tulinganishe na biblia?
 
Kuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
Wee umeipata wapi iyo video
 
acha woga, kwani kila kitu unachokiona kimerikodiwa ni kweli basi kama ndo hivyo hata yale unayoyaona kwenye movie inapaswa uyaamini kuwa ni kweli
 
Kuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
Haina ukweli ile
 
Back
Top Bottom