incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,458
- 4,049
Kwanza kabisa Video hii tukiiangalia kwa jicho la uchambuzi na kiudadisi kuna vitu vinatia wasiwasi, pengine tukio hilo limetengenezwa kimkakati kwa ajili ya masrahi ya watu flani.
Aina mtu aliekuwa anataka kutwekwa, sio mwanaharakati wala mlengwa wa kisiasa, hii inamaanisha tukio hilo lilivyokuwa linatakiwa kufanyika lina tofauti kubwa na matukio mengine yanayotokea kwani aina ya watu tuliozoea kuskia wametekwa na kutoonekana au saa zingine kupatikana kwa miili yao wengi wao ni walengwa wa kisiasa, hivyo kwa kutokea kwa tukio hili linatia wasiwasi kuwa huenda kuna mbuzi wa kafara ameandaliwa ili kusawazisha dhana ya utekwaji kuwa huwa wanaofanya hizo mambo ya utekaji ni waharifu wa kawaida na si aina flani ya watu ambao jamii imekuwa ikiwatupia malalamiko.
Hii inamaana kwamba kama jaribio hili lingefanyika kwa mlengwa wa kisiasa kisha waharifu hao waonekane lazima jamii ingetamani kujua wanatekeleza hilo kwa maagizo ya nani? Ila kwa kuwa huyu sio mlengwa wa kisiasa basi hata waharifu wakikamatwa pengine wanaweza kutoa sababu ya kwanini walitaka kutekereza hivyo kwa sababu watakazotaja wao,
Hii inaweza kuleta picha kuwa pengine matukio ya utekwaji mengi ni masuala ya personal issues. Kwa sababu pengine watakaobainika kufanya hayo matukio sio aina flani ya watu ambao jamii imekuwa ikiwatupia lawama.
Kosa la pili, Aina ya video, Video iliyorekodiwa inasikika hadi sauti za mabishano kati ya mlengwa na waharifu (watekaji) na imeenda mbali vinasikika hadi vishindo vya kurupushani zilizokuwa zikiendelea katika tukio, Lakini pia video imeonekana imechukuliwa katika hali ya utulivu uliopitiliza kiasi kwamba alieichukua video alikuwa katika hali ya utulivu zaidi na hakuwa na wasiwasi hii inaonesha kuwa aliechukua video hakuwa mbali na tukio bali ni mtu ambae alikuwa jirani sana na tukio na alifanya kazi yake pasipo kuwa na Bughdha ya aina yoyote iliyokuwa ikitokana na tukio ikiwemo uoga na changamoto za aina ya tukio lenyewe lazima Camera ingeonesha picha ikiyumbayumba kutokana na Cameraman ku move position kutokana na asili ya tukio, Pia inaonesha lazima angeonekana na waliokuwa wakijaribu kutekereza tukio lakini pia Eneo halikuwa na uficho wa aina yoyote ambao mtu alierekod video angejificha ili asionekane,
Kosa la tatu, Unprofessional kidnaping, yaani kusema watu wenye Taaluma ya utekaji ambao wametekeleza matukio ya utekaji zaidi ya vipindi vya miaka 10 na zaidi waende kumchukua mtu katikati ya watu bila tahadhari yoyote ya kurekodiwa hasa katika kipindi hiki ambacho Watanzania wote wanayajua haya matukio na Jamii ndio iko katika kipindi cha Attension hata kuliko vipindi vyovyote vile.....Kuna baadhi ya matukio ambayo yanahitaji jopo la wachunguzi ambao ni profession wa Vidoo analyisis and logical Editing, kuliko kuchukulia vitu kiuepesi.
N.B huu ni mtazamo wangu tu. lakini ningetaman tungepata Interview ya cameraman atusaidie kutupa exclussive how he/she managed to capture this in clearly video and voice.
NAWASILISHA
Pia soma:Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia