Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,190
- 95,317
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.
Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo
Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo