Kazi kwelikweli/jobtrue trueHii ni video inayombaa kwa kasi mitandaoni ikiwaonyesha Wamasai wakipigana na Walinzi wa kampuni binafsi.
View attachment 2890029
Inasemekana kuwa hili tukio limetokea Zanzibar, lakini sababu ya ugomvi kati yao bado haijajulikana.
Written by Mjanja M1 ✍️
walinzi wasio wa kawaida ndio hao wamasai na wale vibabu vinalindaga majumba makubwaa havina hata sime ya kuzugiaWalinzi wa kawaida!? Kwani kuna walinzi wasio wa kawaida?