Ukiangalia bila kutafakari unaweza kuchukulia poa sana lakini ukweli ni kwamba mwanamke wa namna hii ukimuweka ndani lazima UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI.
Hapa unashindwa kuelewa kwanini huyu mwanamke katoa nywele zake nzuri na kuweka wifi(fake) na Bado akaonekana kufurahia kabisa?
Manyanza
View attachment 3198384