Pre GE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya. wafuasi wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
 
Hebu wasikilizeni Mapolisi wa CCM wanavyoharibu Chaguzi za Tanzania.👇👇👇
Hili Jeshi la Polisi livunjwe lisukwe upya ili like lifanye kazi zake za kikatiba na sio kuingia kwenye SIASA.
 
Kama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya wafuasi. wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
Sedition
 
Back
Top Bottom