Video: Masai achukizwa na uonevu unaofanyika Zanzibar

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
4,023
14,177
Mtu mmoja mwenye asili ya Masai ameonyesha kuchukizwa na uonevu unaoendelea huko Zanzibar dhidi ya Wamasai.

Akiongea kwenye video Masai huyo amesema "walichofanya polisi ni uonevu kwakuwa hawakuwa na kibali cha kuwakamata wamasai kule Zanzibar".

ANGALIA HAPA VIDEO
Your browser is not able to display this video.


Nini maoni yako?

Written By Mjanja M1
 
Hao mlandege kipigo walichopewa kiwe fundisho mbona wamas hawana shida na mtu.
 
Lianzisheni tu na hao polisi watumbatu, msiwaogope!
 
Hoja yao ina mashiko!
 
Hao ni wamasai toleo la mwisho...mmasai 0G hawezi kua mlinzi,msuka nywele au kazi za kipuuzi kma hizo wanafanya znz,hao wengi wamasai wa chalinze,msata,kilindi ambao tamaduni kwao imepotea mda sana wamekua waswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…