Video: Majengo ya Gorofa 22 Yanayoenda Kujengwa Nairobi Kwa kutumia Kodi Zetu.Inauma Sana.

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
9,424
10,909
Sijapenda kabisa huu utaratibu wa kupendezesha Miji ya wenzetu Kwa kutumia Kodi ya mtu maskini wa Kijijini huko.

Inauma Sana ,ningekuwa na madaraka ningefukuza wote Wizara ya mambo ya Nje.

Hawa watu wamefuta mradi wa kujenga kumbi kubwa za Mikutano Arusha wanaenda kujenga Nchi za watu.

----


Later today in Nairobi, we will be launching the construction of Twin Towers (22 floors each) buildings, a real estate investment by NSSF and Tanzania’s Ministry of Foreign Affairs in Upper Hill, the center of Nairobi, that will also house our embassy. We are honoured to be joined by Kenya’s Prime Cabinet Secretary and Foreign Minister, H.E @MusaliaMudavadi
as our Chief Guest, Hon. @peninah_malonza
, Cabinet Secretary for EAC, my cabinet colleague, Hon. @Ndejembi
- Minister in the PMO, Members of Parliament, my @mfa_tanzania
colleagues and a leadership team from NSSF.

The Tanzania Towers, containing residences and offices, and adding beauty to the Nairobi skyline, will not only earn the government much needed foreign currency but will also save government rental expenses for the chancery and embassy staff housing. We are delighted that NSSF management, investment committee and the whole board have found this investment profitable.

The government of Tanzania owns about 101 buildings and plots around the world, most of them in prime areas in major capitals (in Lusaka alone, we own 11 buildings and plots). In the new strategy, which the government approved recently, we seek to use professional and world-class real estate entities to develop these assets to earn income for the government and uplift the quality of our embassies and embassy staff housing. At the moment, the government is spending about TZS 29 billions per annum as rental for embassy offices and embassy staff housing. In the new plan, the government will instead earn about TZS 36 billions per year from these investments. The first phase will be Nairobi, Kigali, Kinshasa, London, New York and Lusaka.

Source: January Makamba
 
Kwani Arusha na Nairobi hali ya hewa si sawa tuuu. Tandika jengo AR kama ni barabara tandika mkeka wa maana NRB to AR basii.Sasa unaenda jenga kwa wakwe harafu kesho useme ni nyumba yako!!!.
 
Waambieni hao NSSF waweke nguvu kwenye kile kiwanda cha Sukari pale Morogoro.

Na ikiwezekana wajenge kingine haraka kusaidiwa kupunguza adha ya sukari na kuongeza export ya bidhaa zetu.

Haya mengine ni white elephants tu ya watu kupiga hela na mwisho wa siku tunaishia kupata hasara na kuja kusumbua wastaafu tu.

NSSF Wana project nyingi sana za kufanya hapa kuliko huu ujinga wa maghorofa ambayo haya faida, pale mchuchuma wakiweka mtaji kwenye iron ore na Taifa likachimba chuma itakuwa na msaada sana.
Wangeweza hata kununua Meli za uvuvi na kujenga kiwanda cha kusindika samaki, na kutumia Air Tanzania Cargo kulisha East Africa mpaka pale mjini Kinshasa.
 
Kama ingekuwa mradi huu unalipa maradufu hata wangejenga Mwezini au Mars ni poa tu mwisho wa siku ni kuboresha mfuko uwe sustainable..., lakini like everything else MIRADI ndio miradi ya kutajirisha watu
 
Kwani Arusha na Nairobi hali ya hewa si sawa tuuu. Tandika jengo AR kama ni barabara tandika mkeka wa maana NRB to AR basii.Sasa unaenda jenga kwa wakwe harafu kesho useme ni nyumba yako!!!.
Jamaa ana maslahi na kenya kitambo mno,nadhani kuna wanasiasa wa kenya yupo nao katika mambo ya biashara
 
Back
Top Bottom