Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,110
- 2,657
CHADEMA wanawachanganya sana maadui zao... hawajui washike nini
Una mawazo ya kijinga sana!Hata Msigwa alikuwa mstari wa mbele kuandamana na Mbowe🐼View attachment 3173638
Usimuamshe aliyelala
Aliko huko ana nini kipya kama sio kuropoka tu?Hata Msigwa alikuwa mstari wa mbele kuandamana na Mbowe🐼View attachment 3173638
KWELI KabisaCHADEMA wanawachanganya sana maadui zao... hawajui washike nini
Mambo ya SACCOS ya Wachagga peleka jukwaa la Siasa wengine hatuijui Chadema Wala hatuhitaji kuisikia aslaniWakuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
Mbowe na Lissu mitano tena kwa nafasi zao za sasa. Wapinzani wao ndio wanaopiga kelele wasiendelee kwa kuwa wanawaogopa kisiasa kutokana na wao kuishiwa pumzi za kisiasa.Wakuu