Video kwenye wimbo wa Taifa

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,377
9,298
Habari za hapa? Umewahi kujiuliza kuwa wimbo wa Taifa (TANZANIA) una Audio tu bila ya video hadi leo!!!!! hapa kuna Kautata, endapo teknolojia zimekuwa kwa kasi hivi na huu wimbo je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…