Pamoja na kuitwa na kuhojiwa ikiwa ni pamoja na kuwasilisha vielelezo vyake kwenye Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea amemuandikia Katibu wa Bunge barua ya kumshtaki Naibu Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson Mwansasu kwenye Kamati ya Kanuni za Bunge.
Vipi alishawahi kukupapasa shanga? Maana hilo la shanga halikutoki kinywani.Ameleta ushahidi unaothibitisha alichokisema bungeni,natarajia kumsikia NS akija na majibu mepesi kama yale aliyoyatoa Mh.Sitta dhidi ya "ex kamanda wetu" Dkt Slaa kuwa ushahidi wake ni wa kuokoteza wakati Dkt.Slaa alikuwa na data zote zinazoithibitisha madai yake.
Huyu mzee wa "elimu ya hapa na pale" kwanini anaitisha press conference afu anatusomea kwenye karatasi? Hawezi kufanya kama ZZK? Ametupotezea muda bora angeweka hiyo karatasi mtandaoni tukasoma wenyewe