Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,915
- 16,996
Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga.
Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi?
Sisi tumemchukua kocha wenu yeye anafahamu njia za kupitia katika ule uwanja.
Anatosha mengine ni upuuzi tu na hatuna haja nayo. Kocha wenu katuambia kila kitu kuhusu uwanja. Acheni ufalah nyie KMC.