Hizi taasis sijui zinafeli wapi kwenye huduma kwa huduma kwa wateja? Wanashindwaje ku out source hizi kazi za customer care?Taasisi zote za umma majanga! PSSSF, TTCL, TANESCO, n.k. kibiashara ni zero kabisa kwasababu wauze wasiuze mishahara yao inaingia. Ndo maana nchi za kibepari ukiwaambia mambo ya kijamaa ni kesi ya uhaini na uujumu uchumi! China pia uzembe unaopelekea kuingizia hasara taifa kwa huduma mbovu wanakula kichwa. Ndo maana zimeendelea!
SahihiTukubaliane tu kuwa CCM ndio chanzo cha kufeli kwa hili taifa sababu wamekumbatia majitu mazembe na mapumbavu huko kwenye ma taasisi.
Sasa watu hata simu kupokea kwao ni kazi waliomba hizo kazi kwaajiri ya malengo gani mbwa hawa takataka?