Video: Haji Manara achukizwa na haya yanayoendelea Simba SC

Aongea kwa uchungu sana kuhusu timu yake,amedhihirisha kuwa unaweza kuhama dini lakini sio timu unayoipenda....

MsikilizeView attachment 2632691
Sasa mbona kipindi kile mlikuwa mnabisha?

Tuliwaambia mapema huyo ni ndugu yenu wa damu! Na hata pale Yanga aliajiriwa na GSM baada ya kulalamika hadharani kulipwa na Barbara mshahara wa laki 7 kwa mwezi, huku akiwa na familia kubwa inayomtegemea! Lakini hamkusikia.
 
Mnamjua Haji Manara lakini?
Kumbe wanajamiiforums wengi weupe kwenye propaganda.

Iko hivi; kuna uwezekano mkubwa Haji Manara kavujisha hii makusudi baada ya kuona hana ushawishi huko Yanga.

Anataka kuwaaminisha uongozi wa Simba sc kuwa yeye ni mzalendo japo hayupo klabuni ila ana mapenzi ya dhati. Anataka wamrejeshe unyamani.

Nb: Manara ni shabiki halali na mwanachama wa SIMBA SC ila tu maslahi yanampa shida.
 
Back
Top Bottom