2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,713
If puss and dog can get together, Why can't we love one another?
-Bob Marley
-Bob Marley
Ni Mkuda aliyepitiliza huyu...na huenda ni UONGOO....NI HUJUMAAHivi Serious kabisa ukaona hakuna haja ya kuweka Picha?
Yote HeriShamba la bwana Heri, mbuzi wa bwana Heri.
Hiyo paragraph ya mwisho ufafanuzi tafadhaliHabari inayotrend kwa sasa ni kijana aliyeibuliwa na Diamond kisha akamsaliti kwa dharau na matusi kila kona aitwae Harmonize. Jana kwenye futari ya Rais aliitumia nafasi ya dhahabu ya uwepo wa Diamond Platinumz kwenye tukio ilo kujaribu kutembelea nyota ya msanii huyo mkubwa ambae kila anapoacha kuzungumziwa na kazi kutofanya vizuri basi amekuwa akitumia jina la Diamond Platinumz kumbeba.
Bila aibu alimshobokea kwa kumfata akimpa shikamoo na kuomba apokee simu yake kwani anataka kumpigia simu wazungumze ni kama kuna ujumbe anataka kufikisha na aliendelea kumshika mkono uku akizitazama camera zichukue tukio ilo ambalo ni adimu sana kwake analoweza kutolea album na ikauza.
Diamond alionekana kushitushwa na mfululizo wa matukio ya kijana huyo mwenye historia mbaya ya usaliti na kufitinisha watu maana alionekana ni kitu alijipanga toka anakuja eneo lile.
Mungu aendelee kumpa riziki na uhai mrefu baba wa bongofleva Diamond Platinumz kwani ameendelea kuwa ngazi kwa yoyote anaetaka kufika juu.
Juzi tu tumeona Ali Kiba akizindua redio ya wadau fulani kisha akitumia jina la Diamond Platinumz kujaribu kufanya promotion asikilizwe.
Hivi wewe ndo yule uliyesema unatamani umzalie mondi?Habari inayotrend kwa sasa ni kijana aliyeibuliwa na Diamond kisha akamsaliti kwa dharau na matusi kila kona aitwae Harmonize. Jana kwenye futari ya Rais aliitumia nafasi ya dhahabu ya uwepo wa Dininu amond Platinumz kwenye tukio ilo kujaribu kutembelea nyota ya msanii huyo mkubwa ambae kila anapoacha kuzungumziwa na kazi kutofanya vizuri basi amekuwa akitumia jina la Diamond Platinumz kumbeba.
Bila aibu alimshobokea kwa kumfata akimpa shikamoo na kuomba apokee simu yake kwani anataka kumpigia simu wazungumze ni kama kuna ujumbe anataka kufikisha na aliendelea kumshika mkono uku akizitazama camera zichukue tukio ilo ambalo ni adimu sana kwake analoweza kutolea album na ikauza.
Diamond alionekana kushitushwa na mfululizo wa matukio ya kijana huyo mwenye historia mbaya ya usaliti na kufitinisha watu maana alionekana ni kitu alijipanga toka anakuja eneo lile.
Mungu aendelee kumpa riziki na uhai mrefu baba wa bongofleva Diamond Platinumz kwani ameendelea kuwa ngazi kwa yoyote anaetaka kufika juu.
Juzi tu tumeona Ali Kiba akizindua redio ya wadau fulani kisha akitumia jina la Diamond Platinumz kujaribu kufanya promotion asikilizwe.
Hajawai tokea msanii kama Diamond Platinumz kwenye muziki wetu kwa ujumla na bongofleva, ndio anaipa uhai na kuitangaza bongofleva duniani.Diamond baba wa bongo fleva😳😳😳 hata kama umezaliwa mwaka 2000 jamani heeeeee!!!!!
Amemshobokea na kutafuta kiki hakuna cha kutofautiana mtazamo huyo dogo ni mtu mbaya mwanga.Wanaume wanatofautiana mitazamo na kila mtu kushika 50 zake ila siyo kwamba wakionana wasisalimiane.
Diamond Platinumz ni kama maji ndio maana huwezi acha kufungua kuzisoma habari zake utamshobokea tu utake usitakeUan uhakika tunahitaji kujua hizi taarifa za kupapatikiana?
Mwenzenu aliwashika masikio ila anajua bila Diamond Platinumz hakuna kinachosogea kwenye career yake.Ni Mkuda aliyepitiliza huyu...na huenda ni UONGOO....NI HUJUMAA