Mungu katoa vipaji vya kila aina kila mtu na chake, leo nimeona nije kushare na nyinyi videos za nyimbo ambazo zimerudiwa na aliyerudia kaitendea haki, mara nyingi huwa wanaziperform kwenye matamasha makubwa ya kutafuta vipaji kama American's Got Talent, British's Got Talent na cover songs ambazo zinawekwa youtube na hizi ndio zangu nazozipenda naomba na zako karibuni
Cover za nyimbo maarufu ktk vionjo vya raggae utazipenda, mfano cover ya hello by adella, sorry ya biaber, etc! Utazipenda.
Mcheki jamaa mmoja anaitwa Conkarah youtube.
Cover za nyimbo maarufu ktk vionjo vya raggae utazipenda, mfano cover ya hello by adella, sorry ya biaber, etc! Utazipenda.
Mcheki jamaa mmoja anaitwa Conkarah youtube.