Mkongwe huyu mwenye miaka 37 amejumuishwa rasmi kwenye kikosi cha wachezaji 23 wa nchi hiyo kwenye michuano hiyo .
Aliwahi kuchezea Chelsea na baadaye akaenda China lakini hivi sasa ni mchezaji wa Norwegian club Molde .
Tusubiri tuone uwezo wake , je mpira ni sawa na baiskeli ? Kwamba ukijua kuendesha ndio umejua milele ?