ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 137
- 141
Verse ya Msanii lord eyes kutoka kwenye Crew ya "Weusi kampuni" Enzi hizo akiwa bado ni member wa Crew ya " Nako 2 nako " kwenye ngoma ya Hawatuwezi, ni moja kati ya Verse bora za muda wote kwenye muziki wa HipHop Tanzania.
Ipi Verse yako nyingine bora ya HipHop?
"We the champs!
A City yeah, yeah ah haa
A City yeah aah!...
Verse..
Mitambo yangu fat/ hawa hisabati
Hizi tatu tofauti ndo zinatuweka kwenye
chart/Wengi hawataki/wengine wanahamaki/
Hii beat ya P Funk naitambalia kama staki/
Check navyotembea/ check navyoenea
Check ma-kick/ ma-snare, halafu check/
unavyonielewa/
Nawakilisha Hip Hop ndo sababu niko hapa
Buh pesa ndo kitu sina na nitazisaka daima/
Mtu mzima mwanaume majukumu lazima/
Game ngumu/ nabadilikia humu humu/
Nasukuma Hip Hop gurudumu/nakomalia
humu humu/
Nazidi kutema sumu/ game ngumu/
Commercial niggas wana pumu/ mistari
ina wahukumu/
Hawajui wanachosema/ kwenye shoo
wanahema/
Wametoka mapema/flow zao za uuh
Usoni sina ngenya/ ila moyoni sio mwema
Sipendi sana kutema sababu kuna madini
natema/
Nikitema leo/kesho nakuta dukani
yanauzwa/
Nisipotema kesho kutwa emcees
tutawauguza/
“Itakuwa ngumu kutusikia chin Nako 2
Nako..
#funguka
Ukwaju wa kitambo