Tunachotofautiana mimi na Rotimi kimuonekano, ni ukubwa wa pua tu! Ukichanga karata zako vizuri unaweza kuwa na bahati kuliko VanessaNamuangalia Rotimi simuishi.......
hutaki bahati Reby?
Wooooooooooooh ma fav artist, naenjoy mnoo vee kuwa na rottiee,
Hii hit ni noumer na wameua kwa kweli.
"Vee money on the truck eeeh" kwa saut ya Vanessa.
Umegusa penyeweeee dea, huo wimbo jwang n ringtone.Same here, wimbo wake wa never ever naupenda sana. Nimmemiss
Dogo alizingua miaka mingi alikuwa na huyu bint akumfanya hata ateme mate angeacha ukumbusho unao heleweka kuwa alikuwa na hii bint ya kaskazinJuxi bado hajabahatisha jmama?
nimecheka jimama la wapi? Yupo Zimbabwe now huenda akarud na dogodogo, maan naona kuna ka mdada ka huko anapiga nako selfiee insta.Juxi bado hajabahatisha jmama?
Namuangalia Rotimi simuishi.......
jamani khaaaaah.Vanessa mtoto mzuri wala sio bahati. Yaani huyo mtoto hata ingekuwa mimi, everyday ningekuwa nakesha popo mpaka azae, sio Jux alikuwa anashindana nae kupaka rangi za kucha tu.
Hivi mnawezaje kuvutiwa na wanaume wanaovaa hereni?