Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
- Thread starter
-
- #21
Rubbish
Ok but You are nut!Not rubbish it's bcoz of your poverty.
Miss Curious I salute you..Kila kimoja chaweza kuwa no au yes kulingana na majibu ya Dr.
Usikonde wakisanda wote nitakutafuta hata ww lakini sifa nyingine siunazo hata muonekano na pamba kali kidogo za kulia bata?Miss Curious I salute you..
Ww ni mfano wa wanawake wapambanaji, to be honest mimi hizo sifa sina ila nimekukubali sana na nakuombea umpate chaguo la moyo wako.
You deserve to be happy madame..
Hahaaa. Sababu kiuhalisia maisha ya Kitanzania kwa sasa yanajulikana na hao wenye mipesa kiasi hicho sidhani kama ni wapo humu.afadhali umeliona hilo dada
Haya mwaya shoga angu kila la kheri.Eti shost tufe ilihali tunasikia tu kule 22m mara moja moja unajitoa ufahamu ukajionee bhana hiyo ndio curiousness.
Hapo sina sifa ya age na cash tu madame.Usikonde wakisanda wote nitakutafuta hata ww lakini sifa nyingine siunazo hata muonekano na pamba kali kidogo za kulia bata?
Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Usiwafanyie hivyo Miss CuriuosJamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.
Vipiiii ndio utafute hiyo hela uende
We Dadaaa. Ujue nimecheka sana. Lol.Vipiiii ndio utafute hiyo hela uende
Msalimie queenShost waache wajikamue mwanaume huwa hashindwi.