Valentine special (mke ) anahitajika

Travis Wax

New Member
Feb 14, 2024
3
11
Hello Guy's kama kichwa kinavyo someka Binti / Mwanamke aliye single anahitajika:
Sifa za Mwanamke:
- Mwenye:
heshima, Nidhamu, Utii, Hekima, Uvumilivu.
- Umri: Miaka 25 - 45
- Ukazi: Dar es salaam / East Africa

Sifa za Mwanaume:
  • Mrefu, Mweupe
  • Mwenye hofu ya Muenyezi Mungu
  • Mpole, Mcheshi na Msikivu
  • Makazi naishi Dar es salaam.
-Aliye tayari Tuwasiliane Inbox
 
Maskini mbona hata haujapata hata reply
Mimi ningekuja pm tatizo nidhamu,uvumilivu,heshima,utii sina kabisa
 
Hello Guy's kama kichwa kinavyo someka Binti / Mwanamke aliye single anahitajika:
Sifa za Mwanamke:
- Mwenye:
heshima, Nidhamu, Utii, Hekima, Uvumilivu.
- Umri: Miaka 25 - 45
- Ukazi: Dar es salaam / East Africa

Sifa za Mwanaume:
  • Mrefu, Mweupe
  • Mwenye hofu ya Muenyezi Mungu
  • Mpole, Mcheshi na Msikivu
  • Makazi naishi Dar es salaam.
-Aliye tayari Tuwasiliane Inbox
 
Attachments

  • IMG-20250218-WA0000.jpg
    IMG-20250218-WA0000.jpg
    124.3 KB · Views: 2
Hello Guy's kama kichwa kinavyo someka Binti / Mwanamke aliye single anahitajika:
Sifa za Mwanamke:
- Mwenye:
heshima, Nidhamu, Utii, Hekima, Uvumilivu.
- Umri: Miaka 25 - 45
- Ukazi: Dar es salaam / East Africa

Sifa za Mwanaume:
  • Mrefu, Mweupe
  • Mwenye hofu ya Muenyezi Mungu
  • Mpole, Mcheshi na Msikivu
  • Makazi naishi Dar es salaam.
-Aliye tayari Tuwasiliane Inbox
All the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom