Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,948
119,243
Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka.

Chanzo: mwanaspoti_tz
 
Anashuka tu kiwango ni Hali ya Kawaida,atarudi ktk fomu.Huyo the call kahaba Hana mchango wowote ktk maanguko ya Aziz

Na ktk Muktadha wa kibinadamu,Aziz anastahili kuwa na Dem......no binadam Ana uhitaji
 
Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka.

Chanzo: mwanaspoti_tz
Lakini Mkuu, hizo safari zote zote si ndiyo mambo ya Vijana wayapendao

Akija kutahamaki hata kikosi cha Kwanza atakuwa haanzishwi
 
Back
Top Bottom