The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 51
- 181
Wakuu bila shaka mnaendelea vyema.
Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu.
Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu.
Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba alikuwa mzinzi sana ,
Aliingia form one akatoka top ten kabisa ya ufaulu , huku mademu ikiwa ndio kipumbele chake.
Brother alinitangulia darasa moja
Nilikuwa kipanga pia me sikuwahi kutoka namba moja tangu darasa la nne hadi form four , hata form six nilikuwa wa kwanza class.
Sasa baada ya brother kuingia form two namimi nikachaguliwa shule hiyo hiyo , kutokana na umbali wa shule hio kutoka home tulikuwa tukiishi geto , kwahiyo mimi nilimkuta kaka tayari ana geto Yuko form two , me naanza form one .
Brother alikuwa ameshabadilika sana, kila weekend lazima aniambie nikatafute sehemu ya kulala huku akileta wasichana na kufanya uzinzi.
Hali hii ilizidi hata ufaulu wake ulishuka kiasi kwamba hata top 70 hakuwemo.
Nilipata tabu sana kuishi naye kwani uelewano wetu ulitoweka , hata pesa ya matumizi aliyokuwa akituma mzee alikuwa anaimaliza kabla ya wakati , then tunaaanza kula kwenye mageto ya wengine.
Nikiwa bado form one mzee aliachana na mama yetu wa kambo aliyekuwa akitulea tangu wadogo, na hii ndio ilikuwa mwanzo wa uzinzi wa mzee.
Kwenye hio break up waliuza nyumba na mashamba , mzee akiwa na mdogo wangu wa kike wakahama maeneo hayo wakaenda wilaya nyingine kuanza maisha upya.
Sasa huku school bro alikuwa mzinzi sana , haikati wiki analeta wasichana getho , ikawa sasa wao ndio wanakuwa wanakuja kupika na kufanya usafi geto.
Bro aliwahi kupitia hofu ya kufukuzwa shule mara nyingi kwa kuwapa mimba wasichana wa shule lakini alikuwa ananishawishi mapema nimuombe mzee hela kwa namna yoyote ili wakatoe Ile mimba , nami nilifanya hivo.
Mwisho wa siku alimaliza form four na zero na sasa yupo mtaani anaendesha bodaboda ni muda murefu sana lakini ameshindwa kupiga hatua kimaisha kwasababu ya uzinzi hata kwenye kazi yake ya bodaboda.
Mdogo wangu wa kike naye alipofika form two , alitoroka home baada ya kumaliza mtihani wa form two , matokeo yalikuja amefaulu lakini hakuweza kuendelea kwasababu tayari nyumbani hayupo, mzee alijitahidi sana kumtafuta lakini hakumpata zaidi aliishia kupata taarifa tu kwa marafiki zake kwamba yupo mkoa fulani, hadi leo sisiter kashaolewa naye nasikia hivo.
Mzee baada ya kuhamia mkoa mwingine bila nyumba inasemekana alikuwa anapta hela sana kwa biashara zake ila wanawake walikula sana hela zake .
Ilkuwa kila nikienda likizo nakuta kuna mwanamke mungine, ambaye mzee alisema ndio huyo kaoa lakini haipiti wiki mbili wamesha achana.
Wanawake wote aliokuwa anaowa mzee tangu waachane na mama yangu wa kambo hakuna aliyewahi kudumu kwa zaidi ya mwezi hadi leo.
Mbaya zaidi ni kwamba wanawake wengi anaokuwa anaachana nao wanakuwa wanatoroka na vitu vya muhimu nyumbani.
Mzee amewahi kujenga kama mara tatu tangu hapo lakini aliishia kuuza mji kutokana na hasara anazokuwa anasababishiwa na wanawake hivyo kuongeza madeni.
Zimeisha wiki mbili tena tangu nipewe taarifa tena kwamba yule mwanamke aliyekuwa amemuoa mzee katoroka na vitu vingi vya home , pia mzee kaiuza nyumba.
Mzee ana miaka 56 sasa , sioni kabisa kama ataweza kubadilisha chochote.
Huwa nasikitika sana napogundua sina home .
Kutokana na maneno ya watu kwamba hata mimi lazima nitakuwa malaya tu kutokana na mabro kuwa hivyo ilinifanya niwe makini sana na kuyaogopa mahusiano ili maneno yao yasijetimia .
Nipo chuo mwaka wa kwanza ila naona kama muda sio mrefu namimi naweza fall in love nikaingia kwenye circle kama ya ndugu zangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu