Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii Kijiji cha Mundindi - Wilaya ya Ludewa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,692
1,240

UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA

Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa.

Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF);
Jumla ya kaya 431 zenye Wanufaika 2,586 sawa na thamani ya Tsh 12,930,000/=
Pesa hizi ni sehemu ya Gawio la Kila mwaka- la Hati Fungani (Government Bond) ambayo Kijiji cha Mundindi kilinunua kutokana malipo ya Fidia ya miradi ya Mchuchuma na Liganga.
Asante Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Fidia Bilioni 15 ya Mchuchuma na Liganga kwa wananchi wa Ludewa; sasa wananufaika na uwekezaji walioufanya.

📍 Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi
Wilaya ya Ludewa- Mkoa wa Njombe

10/07/2024

#LudewaYetu #Ludewa

@ummymwalimu @wizara_afyatz @dr_mollel @ortamisemi @njombe_rs @maelezonews
 
Hizi huduma za msingi/lazima kwenye jamii, nazo ni lazima zifanyiwe uzinduzi kumbe..😳
 
Back
Top Bottom