Termux
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 429
- 1,030
JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D.
Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender.
Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake.
Kama ifuatavyo: