Uzi maalum wa Kujifunza Lugha za Makabila ya Tanzania: Comment Jinsi mnavyosalimia na chochote tafsiri kwa kiswahili

Sina Million 30

JF-Expert Member
Jan 17, 2025
243
156
Kiswahili kikikuzidi sana unaweza ukawa "Kiongozi wa Kitaifa" ila lugha ya Asili ni muhimu sana..

Kama mgeni ukisafiri utahitaji mahitaji mbalimbali ikiwamo Lodge, Manunuzi ya Vitus, na Kujitambulisha kwa wenyeji ikiwamo Mwenyekiti wa KIJIJI, Balozi wa Nyumba Kumi ili ufahamike,,

Sasa pitia hapa upate maujanja ya kusalimiana ukija kwenye Mkoa wangu hata kama umekuja kwenye kampenzi za mwaka 2025
 
Ukikutana na WaWaNJI wanataka kukuambia "Jamani mambo yameanza Kuchangamka"

Unakaribishwa kununua VIAziiiiiiii,

 
Maajabu Ya Kabila Lako yanakaribia Haya ni Maajabu ya Mkoa wa Tanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji.
5- Disco wanapiga taarabu.
6- Hakuna kelele wala vurugu ni kimyaaa hadi raha.
7 - Kijana akishakuwa na uhakika wa kula na kulala anaoa hata wake watatu kwa mpigo.
8- Binti wa Kitanga mwambie apande pikipiki utalipa. Akifika mnunulie chips yai na soda. Kwisha!
9 - Ndio jiji lenye soda zake. 'Healtho' au 'Anjari'. Huko Bakhresa na Mo hawasikiki.
10 - Ukiishi na watu vizuri kuoa na kuolewa hupati shida wao ndo wanamaliza kazi.
11- Raskazone, Donge,Tanga Beach ndio ushuani kwa mafogo.
12- Maji ya kunywa siyo ya kununua dukani, ya bomba tu yanakata kiu, safi hadi raha.
13- Kwa mabinti uwe na pumzi, ukijiroga bro utatolewa jasho ujute.
14 - Kuna traffic light mbili tu pale Toyota na Mombo Hospitali.
15- Machimbo yetu yaleee ni nenda Sabasaba na Kwa Chichi. Hii ni code kwa wakware.
16 - Daladala ipo radhi kumsubiri mtu hata ikibidi kupiga rivasi kumfuata alipo.
17- Ni jiji lililopangika vizuri uswahilini, mjini mpaka ushuani.
18 - Kule madem wanaenda bar au club na madera na ushungi kichwani.
19 - Tanga kila binti anajua mapenzi na wanaheshimu wanaume.
20 - Mabinti wa Tanga wanapenda ndoa na wanajua kulea waume.

Ongeza nyingine ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…