Uzi maalum kwa waliokwisha soma na wanaotarajia kusoma Open University Tanzania

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,197
3,581
Wadau naanzisha huu Uzi kwa ajili ya wale walipitia open university watoe ujuzi wao kuhusu elimu ya open,changamoto zake na faida zake ili kuwatia moyo hawa wanaotaka kujiunga mwaka mpya wa masomo 2017/2018 na kuendelea huko,uliza chochote utajibiwa na wanaojua.

Sent From fx.991
 
kwa wale waliofanya application chuo cha open tarehe rasmi ya kuanz masomo ni lin maan me niliambwa nisubr ratiba
 
Kwa hili swali inaonyesha ubongo wako hautaweza weza imili Masomo ya masafa tafuta vyuo vingine utakapoingia class full time
 
CHUO KIKUU HURIA (OPEN UNIVERSITY TANZANIA)
kinatoa masomo au mafunzo kwa njia ya masafa yaani (open and distance learning/study).
FAIDA ZA OPEN UNIVERSITY
1… GHARAMA NAFUU
2…INARUHUSU KUFANYS KAZI ZAKO.
3..INAOKOA MUDA (SAVE TIME)
4..UHURU WA KUJIFUNZA NA KAZI NYINGINE.
5… UKICHOKA UNAWEZA KUPUMZIKA MASOMO PALE UNAPOKUWA NA MAJUKUMU MEENGI AU UCHUMI KUYUMBA.

CHANGAMOTO ZAKE.
1..WALIOZOEA SCHOOL FEEDING HUKU. HAKUWAFAI
2..USIPOJI COMMIT UTAFEL AU KUKIMBIA CHUO.
3..FACE TO FACE INA MUDA NI MFUUPI.
 
Sito isahau Open University ya Bukoba Mjini...!!
Hii inapatokana eneo moja, zamani waliita Nyumba ya Vijana.

Kuna changamoto kubwa inayowakabili wanafunzi katika Chuo hiki.

Eneo la chuo (kujifundishia) ni dogo sana..!!

Wanafunzi katika mwaka (kipindi) nilichokuwa walikuwa si wa kiwango cha sifa zinazo hitajika (mpaka leo nina amini wengi hawakuwa na sifa sitahiki)

Mazingira kwa ujumla (100%) yalikuwa ni ya kulazimisha tu.

All in all nashukuru nilihitimu Masomo yangu..!!

Naipenda Bukoba Open Univalersity...sina hakika kama bado I-hai mpaka sasa.
 
Ni Kweliii kuwa open university hamna deadline ya application au uzushi tu
Kwa watu wa undergraduate wana deadline ya application ila kwa watu wa post graduate system inakua wazi muda wote.
Na kwa undergraduate application nimeona Open bado zinaendelea nafikri mpaka mwezi October na masomo yanaanza November
 
Sito isahau Open University ya Bukoba Mjini...!!
Hii inapatokana eneo moja, zamani waliita Nyumba ya Vijana.

Kuna changamoto kubwa inayowakabili wanafunzi katika Chuo hiki.

Eneo la chuo (kujifundishia) ni dogo sana..!!

Wanafunzi katika mwaka (kipindi) nilichokuwa walikuwa si wa kiwango cha sifa zinazo hitajika (mpaka leo nina amini wengi hawakuwa na sifa sitahiki)

Mazingira kwa ujumla (100%) yalikuwa ni ya kulazimisha tu.

All in all nashukuru nilihitimu Masomo yangu..!!

Naipenda Bukoba Open Univalersity...sina hakika kama bado I-hai mpaka sasa.
ila sa iv ipo pazuri sema huwa hawafyeki nyasi yaan sema ndo ivo nyasi wafyeke
 
Mimi nasikiaga tu hiki chuo Ila sielewi hua kinafanyaje kazi
Open university of Tanzania ni chuo kikuu cha umma, kilianzishwa kwa sheria ya bunge namba 17 ya mwaka 1992.
Kinatoa elimu kwa njia wazi na masafa(Open & Distance Learning -ODL) hivyo kukitofautisha na vyuo vingine conventional.
Ni wazi(Open) ikiwa na maana mwanafunzi anasoma kwa kuamua ni lini asome, nini asome na kwa muda gani. Kwa mfano mwanafunzi wa Shahada ya kwanza anapewa miaka minimum mi 3 na maxmum miaka 8 kusoma na kumaliza shahada yake ya kwanza. Katika kipindi hicho cha miaka 8 anao uhuru wa kumaliza ndani ya miaka mi 3 au 8 kutegemea na kasi yake ya usomaji na uwezo wa kulipa achilia mbali majukumu yake ya kila siku yanayoweza kumkwamisha asimalize mapema na kwa wakati. Mwanafunzi pia anaweza kumaliza kwa miaka miwili ikitegemea na uwezo wake wakumaliza unit stahiki kwa wakati.
Distance (Masafa) - Ikiwa na maana msomaji anaweza kusoma popote pale alipo duniani. Chuo kinamfuata mtu alipo mtu hakifuati chuo.
Chuo kina makao yake makuu Dar Es Salaam Kinondoni Biafra. Chuo kina vituo kila mkoa wa Tanzania bara na visiwani vinavyotoa huduma karibu na wanafunzi walipo na kuna vituo vingi vya mitihani kwenye wilaya zenye wanafunzi wakutosha kufanya mitihani kwenye eneo husika wakiwa na miundombinu ya kufaa.
Usomaji ni kwa njia ya mtandao almaarufu MOODLE ambapo mwanafunzi akishasajili masomi yake anayotarajia kuyasoma kwa mwaka husika atawekewa masomi kwenye account yake na atagenerate username na password atakazozitumia. Ataweza kufanya assignment na kudiscuss na wanafunzi wenzie pia kuwasiliana moja kwakuyasoma muhadhiri wa somo husika online kupitia account yake hiyo ya MOODLE.
Kwa sisi tulio makazini na tunaobanwa na majukumu na kushindwa kwenda kukaa darasani kwa masaa mengi kwa siku mfumo huu umekua mkombozi kwetu.
Tunaweza kukamilisha ndoto zetu za kujiendeleza kielimu na kunoa bongo zetu vyema huku tukiendelea na majukumu yetu ya kifamilia/jamii na uchumi mintarafu vibarua/ajira zetu.

Affordable Quality Education for All
 
Open university ni Chuo bora sana! Ni Chuo ambacho dhana ya mwanafunzi kutafuta maarifa mwenyewe chini ya uongozi Wa mbali kidogo Wa Mwalimu hufanya kazi vizuri sana!
 
Je kuna uwezekano wa mwanafunzi aliyeanza tiari kusoma hivi vyuo vya kawaida (ameshamaliza mwaka wa kwanza tayari) na anataka kuendelea mwaka wa pili na wa tatu katika Open university?.. yaani ahame anaposoma sasa.. Msaada mkuu
 
Back
Top Bottom