ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,532
Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani
USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana.
Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani.
Ukijumlisha na high technology ni ngumu, ngumu Sana kwa Marekani kushuka Kiuchumi. Hawa jamaa watazidi kupaa Sana.
Mafuta_ kinara
Gesi_ kinara
Technology_ kinara
Tabu iko palepale kwa wachina, Russia, Japan, Europe
Marekani bado Ataendelea kuwa na uchumi Mkubwa kwa miaka mingi Sana.