Mkuu!!! Mwigamba atasoma tawi la Arusha mkuu soatauwa hapa hapo nchini!!!Nafuatilia Mbwembwe za wanasiasa imekuwa kawaida yao kujinasibu kuwa wanalipenda taifa letu na wananchi wake.sijawahi amini dhana hii kwa wanasiasa wa miaka hii.labda kizazi cha Nyerere na wachache walioishi kama yeye.
ZZK yupo USA Havard university(very prestigious university in the world) analipa dola kule mzalendo wetu huyu! hela anazolipa kule angesoma open university/udsm angesaidia watanzania wenye shida ya madawati/miundo mbinu mbalimbali mashuleni.hapo ningemuita mzalendo wa ACT.
Mwigamba anenda kusoma degree ya uzamili na uzamivu Kenyata Universiy kule analipa kwa hela ya kenya/dola ambazo pia angesoma hapa kwetu angetusaidia na chenji zinazobaki.
kukimbilia kupata Elimu kwenye vyuo bora ndio uzalendo wa kuendeleza ubora wa Elimu zetu hapa nchini?!
Pia naamini Habibu Machange ndiye anahitaji ajiendeleze angalau ajenge hoja zenye mashiko.mchangieni hela kama mnavyanzo makini vya hela mpaka mnaenda kusoma nje ya nchi.
Ni mtizamo tu.epuka matusi kwenye mjadala.binafsi siko kambi yoyote ni mchambuzi huru.karibu
Nafuatilia Mbwembwe za wanasiasa imekuwa kawaida yao kujinasibu kuwa wanalipenda taifa letu na wananchi wake.sijawahi amini dhana hii kwa wanasiasa wa miaka hii.labda kizazi cha Nyerere na wachache walioishi kama yeye.
ZZK yupo USA Havard university(very prestigious university in the world) analipa dola kule mzalendo wetu huyu! hela anazolipa kule angesoma open university/udsm angesaidia watanzania wenye shida ya madawati/miundo mbinu mbalimbali mashuleni.hapo ningemuita mzalendo wa ACT.
Mwigamba anenda kusoma degree ya uzamili na uzamivu Kenyata Universiy kule analipa kwa hela ya kenya/dola ambazo pia angesoma hapa kwetu angetusaidia na chenji zinazobaki.
kukimbilia kupata Elimu kwenye vyuo bora ndio uzalendo wa kuendeleza ubora wa Elimu zetu hapa nchini?!
Pia naamini Habibu Machange ndiye anahitaji ajiendeleze angalau ajenge hoja zenye mashiko.mchangieni hela kama mnavyanzo makini vya hela mpaka mnaenda kusoma nje ya nchi.
Ni mtizamo tu.epuka matusi kwenye mjadala.binafsi siko kambi yoyote ni mchambuzi huru.karibu
Mbowe na Kubenea ndio wazalendo kwa kkusomea elimu ya hapa na pale humu nnchini.Nafuatilia Mbwembwe za wanasiasa imekuwa kawaida yao kujinasibu kuwa wanalipenda taifa letu na wananchi wake.sijawahi amini dhana hii kwa wanasiasa wa miaka hii.labda kizazi cha Nyerere na wachache walioishi kama yeye.
ZZK yupo USA Havard university(very prestigious university in the world) analipa dola kule mzalendo wetu huyu! hela anazolipa kule angesoma open university/udsm angesaidia watanzania wenye shida ya madawati/miundo mbinu mbalimbali mashuleni.hapo ningemuita mzalendo wa ACT.
Mwigamba anenda kusoma degree ya uzamili na uzamivu Kenyata Universiy kule analipa kwa hela ya kenya/dola ambazo pia angesoma hapa kwetu angetusaidia na chenji zinazobaki.
kukimbilia kupata Elimu kwenye vyuo bora ndio uzalendo wa kuendeleza ubora wa Elimu zetu hapa nchini?!
Pia naamini Habibu Machange ndiye anahitaji ajiendeleze angalau ajenge hoja zenye mashiko.mchangieni hela kama mnavyanzo makini vya hela mpaka mnaenda kusoma nje ya nchi.
Ni mtizamo tu.epuka matusi kwenye mjadala.binafsi siko kambi yoyote ni mchambuzi huru.karibu
Kuna mitazamo tofauti hapa,yawezekana wameenda kusoma kujiendeleza kwa maslahi binafsi au kwa ajili ya kujitengenezea utukufu siku za mbeleni..Mana bado kuna kasumba ya kuwa ukisoma nje ni bora kuliko elimu ya vyuo vyetu..ingawa kuna ukweli kwenye baadhi yaNafuatilia Mbwembwe za wanasiasa imekuwa kawaida yao kujinasibu kuwa wanalipenda taifa letu na wananchi wake.sijawahi amini dhana hii kwa wanasiasa wa miaka hii.labda kizazi cha Nyerere na wachache walioishi kama yeye.
ZZK yupo USA Havard university(very prestigious university in the world) analipa dola kule mzalendo wetu huyu! hela anazolipa kule angesoma open university/udsm angesaidia watanzania wenye shida ya madawati/miundo mbinu mbalimbali mashuleni.hapo ningemuita mzalendo wa ACT.
Mwigamba anenda kusoma degree ya uzamili na uzamivu Kenyata Universiy kule analipa kwa hela ya kenya/dola ambazo pia angesoma hapa kwetu angetusaidia na chenji zinazobaki.
kukimbilia kupata Elimu kwenye vyuo bora ndio uzalendo wa kuendeleza ubora wa Elimu zetu hapa nchini?!
Pia naamini Habibu Machange ndiye anahitaji ajiendeleze angalau ajenge hoja zenye mashiko.mchangieni hela kama mnavyanzo makini vya hela mpaka mnaenda kusoma nje ya nchi.
Ni mtizamo tu.epuka matusi kwenye mjadala.binafsi siko kambi yoyote ni mchambuzi huru.karibu
Na Edinburgh UK pia alipita for MastersNyerere alikuwa mzalendo na akasoma makerere......huna hoja.....itafuteni ilmu hata kama ipo china.
Nikweli, yaani kama mwk. taifa wa chama chetu baadaya kujenga nyuma na kuweka pesa hapa nchin, yeye anajenga Dubai, Usa napesa zake ni Uswisi, Tabu tupu.Nafuatilia Mbwembwe za wanasiasa imekuwa kawaida yao kujinasibu kuwa wanalipenda taifa letu na wananchi wake.sijawahi amini dhana hii kwa wanasiasa wa miaka hii.labda kizazi cha Nyerere na wachache walioishi kama yeye.
ZZK yupo USA Havard university(very prestigious university in the world) analipa dola kule mzalendo wetu huyu! hela anazolipa kule angesoma open university/udsm angesaidia watanzania wenye shida ya madawati/miundo mbinu mbalimbali mashuleni.hapo ningemuita mzalendo wa ACT.
Mwigamba anenda kusoma degree ya uzamili na uzamivu Kenyata Universiy kule analipa kwa hela ya kenya/dola ambazo pia angesoma hapa kwetu angetusaidia na chenji zinazobaki.
kukimbilia kupata Elimu kwenye vyuo bora ndio uzalendo wa kuendeleza ubora wa Elimu zetu hapa nchini?!
Pia naamini Habibu Machange ndiye anahitaji ajiendeleze angalau ajenge hoja zenye mashiko.mchangieni hela kama mnavyanzo makini vya hela mpaka mnaenda kusoma nje ya nchi.
Ni mtizamo tu.epuka matusi kwenye mjadala.binafsi siko kambi yoyote ni mchambuzi huru.karibu
get your fact collect Nyerere alivyosoma kule kulikuwa na university hapa DAR? alitumia hela zake kujisomesha au sponsorship?Sijajua umri wako lakini kifupi hata nyerere huyo unayemtolea mfano alisoma chuo kikuu cha makerere uganda, halafu aliyekuambia kusomea ndani ya nchi ndiyo uzalendo?, hivi umeshawahi kujiuliza kwanini serikali inawapeleka vijana nje kwenda kusoma wakati wanavyuo vikuu, halafu nikuulize vyuo vyako vya ndani ya nchi vina ubora? Si ndiyo waliyetutolea wakina DK RUTENGWE anayeenda kwenye media maghufuli amwonee huruma?, na wakina polepole ambao hawajuelewi