Uzalendo kwanza:Tunaomba 'CAF' wairuhusu Simba iwape Yanga alama mbili ili wafuzu kuingia robo fainali!

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Sep 5, 2022
1,313
1,987
Habari wana jukwaa...

Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali.

Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi lao na hivyo kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali.

Simba atabakiwa na alama kumi na moja ambazo zitaifanya ishike nafasi ya pili kwenye kundil lake na kufuzu kuingia robo fainali.
 
Halafu mkiitwa mbumbumbu, mnakasirika! Sasa ndiyo umeandika nini hapa! Kwa akili za aina hii, mtapigwa sana tu faini kwa kung'oa vile viti vya uwanja wetu wa Taifa.
 
Back
Top Bottom