Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 20,549
- 22,471
Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini.
Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na yasiyo ya kikatiba vinawabeba zaidi wanawake kuliko kwa wanaume, isipokuwa yule kiongozi wa Zanzibar pekee.
Nje ya mwanaume huyo hayupo wa kulingana sifa za Urais, na wanawake wanaotazamiwa kushika mamlaka hayo ya Juu zaidi nchini..
Unadhani ni mwanamke gani huyo, shupavu mwenye sifa na vigezo vya kikatiba na visivyo vya kikatiba, kitaifa na kimataifa, anaepewa nafasi kubwa ya kuongoza Taifa la Tanzania ?🐒
Ni wa chama kipi cha siasa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania